Chinese Bluetooth Speakers

Sema ni vile budget yako ndogo leo ningekususia jbl charger 5kwa bei poa org kabisa used kwa miez miwili
 
Mi nilikua nafikiria niifungue halafu nitoe nje waya wa spika kisha naukata
Nikiwasha ikiwaka ndio nauunga [emoji23]
Habari mkuu. Nenda kwa fundi wa vifaa vya electronics umwambie akuundie Delay System yenye relay kwa ajili ya kuzuia hiyo kelele usiyoitaka wakati kuwaka na nyingine ya Under Voltage Lock Out(UVLO) yenye threshold voltage iliyo juu kidogo kuliko original UVLO hata tofauti ya milli-volts kadhaa ili kuzuia kelele chaji ya beteri iishapo.
 
Probably feki. Anker unanunua Aliexpress.
Kuna Anker Bose na JBL og hapahapa bongo

JBL Bei ya ni 130K JBL go 3

Flip 5 inarange kwenye 250 K

Charger 5 - 460-500K

Bei zinatofautiana kulingana na model unayotaka kuhusu kujua kama ni OG au feki

Nikwambie JBL hazina option za Menu "M" button

Nitamleta Picha muelewe zaidi

Ila ukiwasha kama ni OG Italia base na water drop effect
 
Haswaa na naipush yangu hapa nimepatwa na njaa 340k tu ni JBL CHARGER 5 ORG IMETOKA DUKANI MWEZI DESEMBA TU HAINA SHIDA YEYOTE
 

Attachments

  • IMG20240128182902.jpg
    4.5 MB · Views: 22
  • IMG20240128182845.jpg
    4.4 MB · Views: 20
  • IMG20240128182853.jpg
    5 MB · Views: 16
  • IMG20240128182858.jpg
    5.1 MB · Views: 19
  • IMG20240128182905.jpg
    4.2 MB · Views: 17
  • IMG20240128182858.jpg
    5.1 MB · Views: 15
  • IMG20240128182902.jpg
    4.5 MB · Views: 18

Mkuu wachina sio poa aisee
Wanagonga copy hatari
Ukifuata njia hiyo kujua kama ni original utapigwa

Njia nzuri ni ku download app ya jbl kisha connect kwa kutumia app
Kama fake haita connect na app
 
Hivi nikiwa nina 150K sipati speaker ya ukweli. Nikaachana na kununua sound bar.?
 
Mkuu wachina sio poa aisee
Wanagonga copy hatari
Ukifuata njia hiyo kujua kama ni original utapigwa

Njia nzuri ni ku download app ya jbl kisha connect kwa kutumia app
Kama fake haita connect na app
Mi Sina haja ya kudownload app nikiziona Tu na hiii og au fake yaani inshort uwezi nidanganya kuhusu JBL okyo pioneer Anker Sony jvc
 
Punguza volume ndo uwashe sma udixime siku zote
 
Mi ninako ka bluetooth mode mwaka wa pili sasa...dunian ni kujua lengo lako tu mengine mbwembwe tu...jbl onkyo sijui saa ya nan
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…