abousumaiya
Member
- May 11, 2017
- 28
- 19
Waungwana naomba kuuliza....kwa wale wanaofaham machine Za kutengenezea barabara Kama moter grader...sasa kuna Aina ya 140g
Hii inanimate Mpaka milioni 120 kwa USA...Ila kwa sasa hivi china hiyohiyo 140g inapatikana kwa million60 Za kitanzania....Nataka kujua tofauti yake iko wapi....baadhi wanasema wanazinunua mbovu halafu wanawake spare zao Za kufyatua Za kichina
Je nini madhara yake hii...itakufa hata week haifiki???,,,spare geneune haziiingiiii????please naomba ushauri wenu