Nafaka
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 12,154
- 31,246
Wachina ni watu ambao ni risk takers, baada ya Wamarekani kuondoka afghanistan, wajasiriamali kutoka China wamekuwa wakikimbilia huko wakidai kuwa Afghanistan kwa sasa ni kama China ilivyokuwa 1980s yani fursa kibao.
Wengine wamewekeza kwenye mahotel, wengine kwenye biashara ya kuimport vitu toka China.
Nilikuwa natazama kipindi Aljazeera kinaitwa 101 East wajasiriamali wanadai wana mpango kujenga mji wao yani China town, ambapo mle watakuwa wanaishi pasipo kufuata sheria za Afghanistan na tamaduni zao. Na mle wenyeji hawatakuwa wanaruhusiwa kuingia hasa kwenye makazi yao.