Taliban wameruhusu hili ?Nilikuwa natazama kipindi Aljazeera kinaitwa 101 East wajasiriamali wanadai wana mpango kujenga mji wao yani China town, ambapo mle watakuwa wanaishi pasipo kufuata sheria za Afghanistan na tamaduni zao. Na mle wenyeji hawatakuwa wanaruhusiwa kuingia hasa kwenye makazi yao.
Ila hapo kwenye kujenga 'Chinese city' ndani ya ardhi yao na wasifuate sheria za kiislamu sidhani kama itakuwa rahisiYah taliban wanapatana sana na wachina
Vip waislamu wa uighur kile kichapo wanachopewa na China Taliban wamekubali mkuu?Yah taliban wanapatana sana na wachina
Taleban wanamkubali mchina jamaa kafungua hotel huko kaona milipuko inazd maana wanakili muda wowote milipuko tu kawaambia serikali wampe jeshi wakampa.Vip waislamu wa uighur kile kichapo wanachopewa na China Taliban wamekubali mkuu?
China ni shetan marekan anasubir.Taleban wanamkubali mchina jamaa kafungua hotel huko kaona milipuko inazd maana wanakili muda wowote milipuko tu kawaambia serikali wampe jeshi wakampa.
Halafu ujue zile ndege 75 wamarekani walizoacha wameharibu sasa hivi zote zimetengenezwa hadi wanashangaa nani kawasaidia zitengeneza
Hata Mimi siamini uislam uelekezwe kibra kirahisi hivyoIla hapo kwenye kujenga 'Chinese city' ndani ya ardhi yao na wasifuate sheria za kiislamu sidhani kama itakuwa rahisi