Blank page
JF-Expert Member
- May 28, 2015
- 5,487
- 4,817
Wakuu,
Kuna hizi CSC scholarships. Kama kuna mtu ana uzoefu na hizi scholarships embu atoe mwongozo na simple procedures za kukamilisha hii.
Tangazo limetolewa pia kupitia Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia.