THEGENTLEMAN1996
JF-Expert Member
- May 13, 2017
- 518
- 592
Vipi mwenzako anatosheka na hiyo hali!?? Kama ndio endelee hivyo hivyo na kama haridhiki ongea nae yeye huku utawapa watu cha kuongeandugu ...
nimeoa mwaka wa pili sasa ila ninafanya tendo la ndoa kwa dakika zisizozidi tano,nakua nimesha "mwaga"
sasa naona kama ni tatizo
kama kuna msaada wa tiba au dawa nahitaji sana.
kama ni mazoezi ya mwili nafanya tangu nikiwa mdogo sana.
balanced diet ipo.
nipo mwanza...
Pole sana mkuu kwa tatizo lako unakula sana wanga ??ndugu ...
nimeoa mwaka wa pili sasa ila ninafanya tendo la ndoa kwa dakika zisizozidi tano,nakua nimesha "mwaga"
sasa naona kama ni tatizo
kama kuna msaada wa tiba au dawa nahitaji sana.
kama ni mazoezi ya mwili nafanya tangu nikiwa mdogo sana.
balanced diet ipo.
nipo mwanza...
kimtazamo wangu wanawake husema wanaridhika ili tu kutujenga psychologically.Vipi mwenzako anatosheka na hiyo hali!?? Kama ndio endelee hivyo hivyo na kama haridhiki ongea nae yeye huku utawapa watu cha kuongea
ndio wanga ni sehemu kuu ya chakula changuPole sana mkuu kwa tatizo lako unakula sana wanga ??
aiseeePole yako sana masta
Hapo pole haisaidiiPole yako sana masta
Tatizo nini sasa, unashindwa kurudia au huwezi kuunga ngwe ya pili ukishamwaga? Kama unaweza hofu yako nini sasa?ndugu ...
nimeoa mwaka wa pili sasa ila ninafanya tendo la ndoa kwa dakika zisizozidi tano,nakua nimesha "mwaga"
sasa naona kama ni tatizo
kama kuna msaada wa tiba au dawa nahitaji sana.
kama ni mazoezi ya mwili nafanya tangu nikiwa mdogo sana.
balanced diet ipo.
nipo mwanza...
Hata wataalamu hawasaidii...tiba vipiHapo pole haisaidii
siwezi kuendelea ...Tatizo nini sasa, unashindwa kurudia au huwezi kuunga ngwe ya pili ukishamwaga? Kama unaweza hofu yako nini sasa?
Uende na kwa wataalam sasaaiseee
Punguza kidogo isiwe sana pia weka ratiba kila siku uwe unakula ndizi mbivu 5 kwa siku kunywa maji mengi Fanya mazoezi ya kujenga msuli kula mboga za majani na matunda pia jitahidi kula chakula Asili na jihadhari sana na haya madawa yatazidi kukudhurundio wanga ni sehemu kuu ya chakula changu
wapi ?Uende na kwa wataalam sasa
haya naona nimekwisha yafanya miezi minne sasa hakuna badilikoIyo inawezekana ikawa sabab kwenda nje ya ndoa siku si nying,... Jarib kubadilisha lifestyle ya maisha mkuu,achana na stress,kula vyema na Fanya mazoezi,..ilo ni tunda LA ndoa sasa akilikosa anaweza gadhibika,kutafta mbadala wa kandarasi yako,..
kuna jamaa hapa alitoa uzi fulani wa kuhusiana na hiyo ishu....daah nimemsahau ila nikimkumbuka nitakutagwapi ?
nielekeze kama yupo nimfate