CHINI YA SIKU 100; Ahmed Ally anaupiga mwingi

CHINI YA SIKU 100; Ahmed Ally anaupiga mwingi

IAmShedeOne

JF-Expert Member
Joined
Jul 2, 2015
Posts
202
Reaction score
385
HATA SIKU 100 BADO LAKINI KASHAMFUNIKA YULE

Tuongee TU UKWELI huyu Mwamba Ahmed Ally_ ameupiga mwingi sana ndani ya muda mfupi miezi mitatu tu.

Amewaunganisha mashabiki wa Simba kuwa kitu kimoja, hamasa imerejea kwa Kasi ya 4G.

Simba wameanza vibaya kwenye ligi wakiwa na gape la points 8 DHIDI ya Watani wao lakini, amewezakutuliza pressure ya mashabiki wa Simba, hawana Pressure wanaamini Simba bado ni bora kilichotokea ni upepo tu, wachezaji kuchoka wametumika muda mrefu.

Lakini Yanga wakitoa hata sare wanaita ma-press kibao wakiwatuhumu waamuzi, kuna utofauti kati ya Manager na Msemaji, Manager ni kama Professor tu kwenye mpira lakini Usemaji mtu yeyote anaweza kusema hata Tive ukimpa timu yako ataisemea vizuri tu.

Mashabiki wa Simba kwa sasa kwenye Mechi za Kimataifa ndio wanaongoza kwa kushangilia hata CAF wanaliona hilo, Wanaimba wimbo mmoja Mwanzo Mwisho, hapo awali haikuwa hivyo, Mashabiki walikua wanashangilia goli, chenga,tobo nk kwasasa Mwanzo Mwisho

Salute sana Mwamba @ahmedally_

@davidpascol

#KanunguJR

photostudio_1648722394792.jpg
 
Mkimtimua msije mkakana maneno yenu haya
 
Mimi ni mwana Simba hajj imemchukua miaka kadhaa kufika pale kumbuka Simba yenye njaa hajj alipambana na alipambana toe.to toe na Jerry muro wakat yanga ikiwa katika prime yake

So Ahmed kumlinganisha na hajj n bado Sana naye ajenge ufalme wake taratibu atakuja kuwa mkubwa

Uzuri mafanikio hayapigi kelele ukiona mafanikio yanapiga kelele kuwa Makin Sana jua hayo n ya mda mfupi TU

Though Ahmed anakuja vizuri

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Una homa ya ini.
 
haji anacheti cha dini amesomea uarabuni kwahiyo hana ufanisi na masuala ya habari
 
Hata haji alipokuwa hapo kwa gabachori mlisema hivi hivi.

Uzuri huu uzi tutakuja kuufukua soon.
 
Kwa Simba ilipofikia, haikumuhitaji tena Haji.

Kuna kipindi haitamuhitaji tena Ahmed.
 
Unazungumzia Usemaji na kitengo cha habari kwa Simba SC ambayo ipo kwenye peak ya mafanikio

Jaribu kuikumbuka Simba SC iliyokuwa haina kikombe chochote wala mafanikio ndani ya miaka 4 na kipindi hicho ukiitwa Wa Matopeni.

Msemaji wako Wa kipindi hicho alikuwa akipambana na Jerry Murro,muhaya ambaye akisimama kuongea kwenye media,huwezi kutamani kuendelea kumsikiliza kwa dakika 2, ila Manara alisimama imara mpk timu ikasimama na kufika kwenye peak hii ya Leo ambayo Ahmed ni kama anakula mkate na siagi tu
 
Kwa hiyo unatakaje?Mkate au siagi?
 
Back
Top Bottom