IAmShedeOne
JF-Expert Member
- Jul 2, 2015
- 202
- 385
HATA SIKU 100 BADO LAKINI KASHAMFUNIKA YULE
Tuongee TU UKWELI huyu Mwamba Ahmed Ally_ ameupiga mwingi sana ndani ya muda mfupi miezi mitatu tu.
Amewaunganisha mashabiki wa Simba kuwa kitu kimoja, hamasa imerejea kwa Kasi ya 4G.
Simba wameanza vibaya kwenye ligi wakiwa na gape la points 8 DHIDI ya Watani wao lakini, amewezakutuliza pressure ya mashabiki wa Simba, hawana Pressure wanaamini Simba bado ni bora kilichotokea ni upepo tu, wachezaji kuchoka wametumika muda mrefu.
Lakini Yanga wakitoa hata sare wanaita ma-press kibao wakiwatuhumu waamuzi, kuna utofauti kati ya Manager na Msemaji, Manager ni kama Professor tu kwenye mpira lakini Usemaji mtu yeyote anaweza kusema hata Tive ukimpa timu yako ataisemea vizuri tu.
Mashabiki wa Simba kwa sasa kwenye Mechi za Kimataifa ndio wanaongoza kwa kushangilia hata CAF wanaliona hilo, Wanaimba wimbo mmoja Mwanzo Mwisho, hapo awali haikuwa hivyo, Mashabiki walikua wanashangilia goli, chenga,tobo nk kwasasa Mwanzo Mwisho
Salute sana Mwamba @ahmedally_
@davidpascol
#KanunguJR