Chino Kidd amzawadia cheni ya bei mbaya LeeMckrazy wa Afrika Kusini

Chino Kidd amzawadia cheni ya bei mbaya LeeMckrazy wa Afrika Kusini

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
2,060
Reaction score
5,648
Wakuu muziki unalipa na bwana Isaya Mtambo a.k.a Chino Kidd ameendelea kuyaishi matunda ya kazi hiyo.
IMG_0373.jpeg

Taza hilo licheni la bei mbaya alilomzawadia LeeMckrazy, msanii wa Afrika Kusini just for the love.

Video hii pia Chino ame-repost na kuandika;

"Asante kwa kuthamini kaka yangu LeeMckrazy. Najua ni pesa nyingi, lakini kwa sababu napenda unachofanya, moyo wangu ni safi kwa hilo. Furahia, Mfalme!"
 
Huyo jamaa mara nyingi akipiga picha hua amekenua meno.
 
Huyo jamaa mara nyingi akipiga picha hua amekenua meno.
 
Back
Top Bottom