Wakuu muziki unalipa na bwana Isaya Mtambo a.k.a Chino Kidd ameendelea kuyaishi matunda ya kazi hiyo.
Taza hilo licheni la bei mbaya alilomzawadia LeeMckrazy, msanii wa Afrika Kusini just for the love.
Your browser is not able to display this video.
Video hii pia Chino ame-repost na kuandika;
"Asante kwa kuthamini kaka yangu LeeMckrazy. Najua ni pesa nyingi, lakini kwa sababu napenda unachofanya, moyo wangu ni safi kwa hilo. Furahia, Mfalme!"