Kwa wapenzi wa literature je mnafahamu kuwa vitabu vitatu vya Chinua Achebe Things fall apart,an arrow of God na no longer at easy ilikuwa ni sentensi moja ambayo aliitoa vitabu vitatu?ni kama ifuatavyo: THINGS FALL APART BECAUSE AN ARROW OF GOD IS NO LONGER AT EASY.
Akimaanisha kuwa mambo Afrika yanaenda mrama kwa sababu ule upinde tuliopewa na Mungu tujilinde nao ambao ni utamaduni na Mila zetu uko shagrabagra na hauwezi kurenga tena.Hapa anazungumzia uigaji wa mila za kigenei pamoja na utandawazi kwa ujumla.Mpo..
AH, imani kutiana, mawazo kupanuana. nashukuru kwa kunitia na kunipanua!

Red hiyo, Songea haiko Masasi, Songea iko mkoani Ruvuma na Masasi iko mkoani Mtwara.Tunashukuru.
Marekebisho kidogo:
neno sahihi ni shaghalabaghala, sio shagrabagra kama ulivyotumia wewe. Au nawe msamiati wa kiswahili umeenda mrama? hahhhaa.
Ila nashukuru sana kwa hilo. Sikuwa najua kuwa hiyo sentensi imerudiwa kwenye vitabu vyote vitatu. Kama kweli wewe ni mpenzi wa fasihi andishi nakushauri pia usome "The wreath for father Mayer of Masasi". Ni riwaya imeandikwa na Mtz mwenzetu S. Ndunguru. Kwa sisi tuliosoma zamani (kidato cha 4 hadi 2004 hivi) hatukuisoma. Ila sasa inasomwa shuleni. NAKUHAKIKISHIA UTAIPENDA SANA. Haina maudhui ya ukoloni, mila na desturi n.k. kama hizo za Achebe na Ngugi. Hii ina mambo ambayo ndiyo yanatokea sasa- teknolojia, dawa za kulevya na dini. Inamuhusu padre mmoja (fr Mayer), mgeni (sio Mtz) lakini anafanya kazi songea huko Masasi. Anasafiri kwenda ng'ambo kumbe anabebeshwa dawa za kulevya. Sasa endelea toka hapo...........