Chionda: Giniazi la historia anayeamini dini ni utapeli

Wachachee watamwelewa ila wafia dini kina katoliki ,lutherani na kinaa kuwani Musa na mtumeee boniii hakii watapingaa vikalii,

Dini n mradi km mradi mwingine tu wa watu wachachee wanufaika wa Moja Kwa mojaaa..
Watakaomwelewa ndio hao hao tayari wameshakuwa wafuasi wa itikadi yake, mmojawapo wewe. Kwa hiyo naye amechota wafuasi kama walivyochota akina Kuhani Mussa, Mtume Bonii na yeye atatafuta jina kama Mtume Chionda
 
na kuna sun rise na sunset
ship visibility

umenikumbusha Advance geography 🥰🥰
Mbona wanasema the sun is stationary na huwa inaspin kwenye orbit yake na haitoki east wala kwenda west so ukiongelea sunset na sunrise unakuwa unakosea mkuu sababu haya mambo ya sunrise na sunset hayako standard kwa dunia nzima au nasema uwongo ndugu yangu ?
 
sasa
mi nilifundishwa hivo kiongozi 🙄
 
Naomba kujua wewe na mkeo mnaishi kwa ndoa ipi??
 
Watakaomwelewa ndio hao hao tayari wameshakuwa wafuasi wa itikadi yake, mmojawapo wewe. Kwa hiyo naye amechota wafuasi kama walivyochota akina Kuhani Mussa, Mtume Bonii na yeye atatafuta jina kama Mtume Chionda
alafu huyu CHIONDA nina uhakika unavuta MSUBA!!
 
hamna kitu huyu ana story za kuunga unga tu,sema ni msomaji mzuri wa vitabu ndo alipowaacha wengi
 
sasa
mi nilifundishwa hivo kiongozi 🙄
Sawa mkuu ukienda shule kusoma unatakiwa uwe unaweza kureason vitu tofauti tofauti mkuu, na nadhani ndio lengo kuu la shule, Yan use na uwezo wakuweka vitu kwenye mzani kile chenye uzito mkubwa unakipa priority au nasema uwongo ndugu yangu ?
 
Naomba kujua wewe na mkeo mnaishi kwa ndoa ipi??
Una kitu usipuuzwe,ata chionda ana kitu.hapa ndo pale wanasema akili za kuambiwa changanya na zako.uko vizuri mkuu una nondo zako kuntu tu
 
Wachachee watamwelewa ila wafia dini kina katoliki ,lutherani na kinaa kuwani Musa na mtumeee boniii hakii watapingaa vikalii,

Dini n mradi km mradi mwingine tu wa watu wachachee wanufaika wa Moja Kwa mojaaa..
Na waislam watachukulia poa tu eti
 
ana lack information nyingi sana, kwa kifupi ni mwanadamu aliyechanganyikiwa na maisha, and specifically ugumu wa maisha, na anaamini anajua kumbe hajui kupita maelezo. hayo mambo yote anaongea wenye akili tulishayasoma na kufunuliwa, kwa umri wake alitakiwa kujua zaidi ya hayo na alitakiwa awe ameshapata conclusioin sahihi. Mungu amsaidie.
 
Jamaa ni freemason ndio dini yake, sishangai akiongea hivi
 
Jamaa ni freemason ndio dini yake, sishangai akiongea hivi
huyo ni wa kukamata, na kumwekea mikono tu kwa Jina la Yesu uone kama hatalipuka mapepo huyo. hata sura inaonyesha ni possessed anahitaji msaada wa Mungu afunguliwe.
 
Huyu jamaa nimemsikiliza ila kuna maswali alikuwa hajibu kwa kuhama hama topic na mwandishi alikuwa anasahau kumrudisha. Nilichogundua kwa kiasi kikubwa kasoma kitabu cha wasabato kinaitwa The Great Controversy kilichoandikwa na Ellen G White nabii wa Wasabato.
Sema mambo mengi aliyozungumza ni kweli hasa Yesu kutokea katika many ancient methodologies.
 
Jamaa ni freemason ndio dini yake, sishangai akiongea hivi
Hivi unajua ili uwe freemasons lazima uwe na dini maana freemasons si dini. Sijui kwanini huwa mnahusisha ufreemasons na kila ambacho hakiendani na uelewa wenu.
 
Ukute ni mtu wa system amesetiwa ili kuiua ajenda ya Lissu " NO REFORM NO ELECTION".

CCM wanajijua wenyewe.🤣😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…