Chionda: Giniazi la historia anayeamini dini ni utapeli

Sawa mkuu ukienda shule kusoma unatakiwa uwe unaweza kureason vitu tofauti tofauti mkuu, na nadhani ndio lengo kuu la shule, Yan use na uwezo wakuweka vitu kwenye mzani kile chenye uzito mkubwa unakipa priority au nasema uwongo ndugu yangu ?
sawa kiongozi

naomba nije unipige pindi
 
Kumbe kuna interview nyingine? Mimi niliona aliyofanyiwa na crown sikujua kama kuna zaidi ya hiyo. Personally, simchukulii kuwa genius bali mtu aliyesoma maandishi mengi na historia.
Hajasoma
Chochote details zote alizotaja almost 90% ni uongo, pitia huu uzi nimeelezea. Kikuu anajiongelesha mno kingereza tu
Kumbe kuna interview nyingine? Mimi niliona aliyofanyiwa na crown sikujua kama kuna zaidi ya hiyo. Personally, simchukulii kuwa genius bali mtu aliyesoma maandishi mengi na historia.
hamna analojua jamaa mmoja tu anaongea kingereza kama mateja wa kinondoni pitia huu uzi nimeandika vyotw alivokosea
 
Duh! Mkuu kwa gazeti lako hili bora ungeenda kuomba interview na wewe umjibu
 
Details nyingi alizosema ziko kwenye kitabu cha the great controversy. Kuna vitu vingi kaongea vina ukweli kihistoria. Kwa mfano utatu ulivyokuwepo hata kwenye iman za wagiriki na wa egypt, uwepo wa story ya yesu katika methodologies nyingi za kale hata kabla ya ukristo.
 
Sasa Yesu ndiye kristo hawez kua mkrsto maana yy ndo yeye mwenyew
 
Huyo naye kuna sehemu kazingua moja ya madai yake anasema dunia ni flat

Karne hii mtu anaamini umbo la dunia ni flat namuona ni mjinga aliye sugu.
Lakini dunia sio duara.
 
Huyo naye kuna sehemu kazingua moja ya madai yake anasema dunia ni flat

Karne hii mtu anaamini umbo la dunia ni flat namuona ni mjinga aliye sugu.
Jifunze kuwa mfatiliaji so kubisha bisha tu, Dunia ni flat ndio
 
Huyo naye kuna sehemu kazingua moja ya madai yake anasema dunia ni flat

Karne hii mtu anaamini umbo la dunia ni flat namuona ni mjinga aliye sugu.
Mimi mtu akianza kuwananga wazungu kwa matatizo yake mwenyewe huwa naona kuna shida mahali..
Kila tatizo anawatupia wazungu ndo source.
 
Fatilia acha uvivu, you have a time fatilia usipende kutafutiwa
Nifatiie wapi sasa nje na hii source (wewe)

Bila shaka mpaka ukapinga ni wazi tayari ulishafatilia na una hayo maarifa. Share basi na sisi tuone hayo ambayo hatukuyajua.
 
Huyo naye kuna sehemu kazingua moja ya madai yake anasema dunia ni flat

Karne hii mtu anaamini umbo la dunia ni flat namuona ni mjinga aliye sugu.
Jamaa yuko shallow sana sema naye huwa anasikiasikia hoja anaishi nazo.

Kwa sababu ya uzwazwa wa eabongo ndio jamaa kapanda kiki.

Namimi nawez kusema jamaa ni bhangi tu, hana hoja za kisomi kabisa.
 
Sawa share hiyo elimu na sisi

Ni facts gani zinazothibitisha kuwa dunia ni flat?

Nataka leo niwasikilize huwenda mkawa na hoja.
Mimi bado sijapata conclusion kwamba Dunia ni flat ama duara, bado naona kuna hoja hazijibiki kwa flat earther's na kuna hoja hazijibiki kwa dunia tufe
 
Wewe muislamu na mkeo ni mkristo,
Wewe ume mfundisha uislamu na yeye kakufundisha ukristo,

Nilipomaliza kusoma sehemu hii nikaona wewe huna elimu yoyote,

Kwanza huoni hata haya kuongea maneno haya mbele ya hadhara?
 
Logic za kawaida sana hizi Mkuu,tuliwahi bishana miaka flani Shule za Boys hizi usiku mpaka watu waliapizana kuwa hutuamki.😀😀😀
Dunia ilinichukua na nikakimbia kumfuata Bwana mbele za meza(Theology Dip.)
 
mkuu unajuaje kuwa anapotosha watu?
Wewe una uhakika gani kuwa hutopot
 
Logic za kawaida sana hizi Mkuu,tuliwahi bishana miaka flani Shule za Boys hizi usiku mpaka watu waliapizana kuwa hutuamki.😀😀😀
Dunia ilinichukua na nikakimbia kumfuata Bwana mbele za meza(Theology Dip.)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…