Mndengereko
JF-Expert Member
- Mar 24, 2011
- 7,326
- 3,444
Habari wanajukwaa,playstation 2 ambayo imechakuchuliwa(inasoma flash) inauzwa ikiwa pamoja na adapter,padi moja,memory ya kuwashia na flash ya gb 8 yenye mchezo wa pes 14
bei ni tsh 160,000 na kila kitu chake
Mwenye kuhtaji awasiliane kwa na. Za simu zifuatazo 0714061310
ahsanteni.!
kwa hivi sasa ninayo moja tu,nyngine nafanyia biashara.ukitaka tatu labda univumilie mpaka decembernataka 3 kwa Bei hiyo
u120 vp?