Codes are for bright people! Siyo uoga!Tz inawaume waoga sana
Usikute na wewe ni mwanaume, hata kuongea tu huwezi mpaka ujificheficheee! Mmmh!!
Eee Mungu, tuondolee kizazi hiki
Tabu kweli kweli!
Ask'r stinking holeWhat is this rubbish!?
Alitaka kwenda hewani lakini akakumbushwa kuwa yeye ni mtu mkubwa na mwenye akili hivyo hadhi yake sio kujibishana na lofa lofa na mtu mwenye Hali ya chini kama polepole. Angefanya jambo la kijinga kupindukia.........yaani Rostam ajibizane na polepole?!!!!!π³π³π³π³Ukitaka kumtoa nyoka pangoni wewe mwaga petroli tu au mafuta ya taa. Hata awe mkubwa kiasi gani lazima atatoka tu.
Mmoja kati ya watu wanaoonja shubiri za Mdunguaji kutokea mafichoni ni chips tamu.
Kwanza alianza kujitutumua kidogo kidogo baada ya vidampa wake kushindwa kuzima moto wa Mdunguaji.
Ni juzi tu ambapo , Chips tamu alidai kuwa angepaa hewani na mbawa zake ili Kenge wamuone na kumsikiliza.
Bila shaka agenda Kuu ilikuwa kujaribu kutibu makovu yanayotokana na bakora za Mdunguaji maana amemcharaza kweli kweli.
Kenge walisubiri weeeee, Chips tamu hajatokea mpaka leo. Tatizo ni uoga maana hajui mdunguaji atakuja na bakora gani baada ya kuwa amekurupuka!
Kama si hivyo, wale maponjoro walioko mbali ambao inasemekana Chips tamu anawatumikia, huenda wamemzuia asiseme chochote kwa sasa Hadi hapo baadaye. tusubiri tuone!
Mara nikaona panya mumoja mkubwa amekurupuka fyaaaa! Lakini Hana mkia na karibu na mtandao wake wa simu, kunguni wanajisokomeza ndani na kutoka nje. Guess who is that henchmen?Alitaka kwenda hewani lakini akakumbushwa kuwa yeye ni mtu mkubwa na mwenye akili hivyo hadhi yake sio kujibishana na lofa lofa na mtu mwenye Hali ya chini kama polepole. Angefanya jambo la kijinga kupindukia.........yaani Rostam ajibizane na polepole?!!!!!π³π³π³π³
Hiki kingekuwa kichekesho Cha Karne π€£π€£π€£π€£π€£
Mipumbavu tu ndiyo itapigwa na kitu kizito na polepole, sio waelevu. PoleMara nikaona panya mumoja mkubwa amekurupuka fyaaaa! Lakini Hana mkia na karibu na mtandao wake wa simu, kunguni wanajisokomeza ndani na kutoka nje. Guess who is that henchmen?