Chips za Magufuli wa masaki ni tamu kinyama

Chips za Magufuli wa masaki ni tamu kinyama

Chakorii

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2015
Posts
18,773
Reaction score
51,429
Habari wakuu,,,

Msistuke kusikia Magufuli [emoji16][emoji16]ni jina la kijana wa mtaani kabisa..

Aiseeh kuna wakaka wawili maeneo ya supa Masaki,wote ni watu wa kanda ya kaskazini..huyo niliyekula leo chipsi kwake anaitwa Magufuli halloo anapika chipsi vumbi na mishkaki mitamu ni kinyamaaaa..

Mwanzo nilikuwa napaona pabaya pabaya tu lkni aiseeh kumbe ni bonge la chimbo ni kinyama...

[emoji16][emoji16][emoji16]sifanyi matangazo,maana watu hawakawii[emoji6][emoji6][emoji6]

"Timoth"(Kyalow)baba nitakupeleka ukapambane na vumbi la pale.[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji111]️

Karibuni.
IMG_9071.JPG
A16DD9D0-6C74-4FB3-9A36-F684FFB04F7B.jpg
IMG_9067.JPG
 
Habari wakuu,,,

Msistuke kusikia Magufuli [emoji16][emoji16]ni jina la kijana wa mtaani kabisa..

Aiseeh kuna wakaka wawili maeneo ya supa Masaki,wote ni watu wa kanda ya kaskazini..huyo niliyekula leo chipsi kwake anaitwa Magufuli halloo anapika chipsi vumbi tamu ni kinyamaaaa..

Mwanzo nilikuwa napaona pabaya pabaya tu lkni aiseeh kumbe ni bonge la chimbo ni kinyama...

[emoji16][emoji16][emoji16]sifanyi matangazo,maana watu hawakawii[emoji6][emoji6][emoji6]

"Tim..." baba nitakupeleka ukapambane na vumbi la pale.[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji111]️

Karibuni.View attachment 771191View attachment 771194View attachment 771196
km hilo paja ni lako basi utakuw na msambwanda wa hatare.wakubwa wanafaidi.
 
Mm nmependa hilo paja

Njoo uchukue mkuu..

[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]huwa napenda kusoma comments zako ni kinyama..huwa zinanifurahisha mno..

Utakuwa unapokea likes zangu za kimya kimya pindi nionapo comments zako
 
Back
Top Bottom