km hilo paja ni lako basi utakuw na msambwanda wa hatare.wakubwa wanafaidi.Habari wakuu,,,
Msistuke kusikia Magufuli [emoji16][emoji16]ni jina la kijana wa mtaani kabisa..
Aiseeh kuna wakaka wawili maeneo ya supa Masaki,wote ni watu wa kanda ya kaskazini..huyo niliyekula leo chipsi kwake anaitwa Magufuli halloo anapika chipsi vumbi tamu ni kinyamaaaa..
Mwanzo nilikuwa napaona pabaya pabaya tu lkni aiseeh kumbe ni bonge la chimbo ni kinyama...
[emoji16][emoji16][emoji16]sifanyi matangazo,maana watu hawakawii[emoji6][emoji6][emoji6]
"Tim..." baba nitakupeleka ukapambane na vumbi la pale.[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji111]οΈ
Karibuni.View attachment 771191View attachment 771194View attachment 771196
zinakuwa na vumbi kuanzia nusu kilo.Chips vumbi ndio Zipoje!?
; From mkoani.
Utafungwakm hilo paja ni lako basi utakuw na msambwanda wa hatare.wakubwa wanafaidi.
na nini na nani?Utafungwa
Hahahahahahaah........km hilo paja ni lako basi utakuw na msambwanda wa hatare.wakubwa wanafaidi.
Na Mkubwa!!na nini na nani?
Duh! Nimekunyooshea mikono! Wewe ni hatari kwenye hii fani!km hilo paja ni lako basi utakuw na msambwanda wa hatare.wakubwa wanafaidi.
Yaani kuna ndizi, nyama na nini wewe ni mapaja tu?!km hilo paja ni lako basi utakuw na msambwanda wa hatare.wakubwa wanafaidi.