Chips za Magufuli wa masaki ni tamu kinyama

chips sawaaaaa ila hii mishkaki ya vumbi ninaiogopa sana...

hawachelewi kukulisha mishkaki ya wuuuu wuuu wuuu au ya nyauuuu nyauuu
 
Chakorii jamani ni ninii kutamanishana hivyo
 
Sio siri nimekununia rafiki. Hata kunishtua lol.
[emoji12] [emoji12]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…