Chipsi mayai ni chakula cha taifa,aliyegundua chipsi mayai mungu anamuona!!

kimsboy

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2016
Posts
9,846
Reaction score
20,319
Yes....zamani ilikua dar sikuhizi chipsi ni chakula cha taifa nendeni arusha,moshi,mwanza,mbeya,dodoma,tanga,zanzibar, singida bukoba (hiyo mikoa nimeitaja maana nimeshafika) muone watu wanavyokula viepe/zege/chipsi kama vile hawana akili timamu yaani chipsi ni chakula cha taifa....


Asikwambie mtu huwa najiuliza aliyegundua chipsi mayai hahaha sijui aliwaza nini maana sio kwa jinsi wanavyozifakamia kama vile zitaisha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Chipsi mayai hazitatuacha salama sisi wanaume wa mikoani maana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Na ajitokeze mtu hapa aseme hajawahi kula ugali maharage tangu azaliwe. HICHO NDICHO CHAKULA CHA TAIFA.
Kwani wapo wasiowahi kula chipsi mayai?
 
chakula cha taifa cha wanawake na mashoga zao wenye jinsia za kiume.
 
Ni chakula peke kinacholiwa na wengi huku 80% hawajui hata mmea wake ukoje, wengine huzan viazi vinachumwa kama matunda
 
Wanaume wa dar utawajua tu! Hawawezi kujificha kabisaa.
 
Afu lisikauke yenye maudambwidambwi kama youte[emoji39][emoji39]
 
Chakula kinacholiwa zaidi na walioko single au kwa wale walaji wenye njaa ya dharura ni chips! Ina part yake!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…