Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Rafiki yangu anasumbuliwa na macho hasa kutoa machozi na mishipa ya macho kuuma, alijaribu kuuliza baadhi ya watu wanasema aache kula chipsi,Je kuna uhusiano wowowte kati ya kula chipsi na ugonjwa wa macho?
Hapo ndio sijui kwasababu mtaalamu ndio alitoa majibu hayoChips ni viazi vilivyopikwa/kaangwa kwa mafuta yaliyochemshwa?
Ngoja nasi tukuulize swali jepesi tu
Je, viazi au mafuta huwa vinapofusha macho?
mhhh uongo huo kwakweli.. sidhani kama hivyo vitu vina relateRafiki yangu anasumbuliwa na macho hasa kutoa machozi na mishipa ya macho kuuma, alijaribu kuuliza baadhi ya watu wanasema aache kula chipsi.
Je kuna uhusiano wowowte kati ya kula chipsi na ugonjwa wa macho?
Rafiki yangu anasumbuliwa na macho hasa kutoa machozi na mishipa ya macho kuuma, alijaribu kuuliza baadhi ya watu wanasema aache kula chipsi.
Je kuna uhusiano wowowte kati ya kula chipsi na ugonjwa wa macho?
Sasa chipsi zimeingiaje katika eneo la macho?! Wabongo bwana.Rafiki yangu anasumbuliwa na macho hasa kutoa machozi na mishipa ya macho kuuma, alijaribu kuuliza baadhi ya watu wanasema aache kula chipsi.
Je kuna uhusiano wowowte kati ya kula chipsi na ugonjwa wa macho?
Itasaidia kweli?Sasa chipsi zimeingiaje katika eneo la macho?! Wabongo bwana.
Mwambie achemshe bamia achuje, yale maji ya bamia anywe kama anavyokunywa juice yoyote. Kuanzia lita moja. Afanye hivyo mara tatu kwa wiki.
Aende kumwona daktari wa macho asisikilize ya mitaani ya kula chips.Rafiki yangu anasumbuliwa na macho hasa kutoa machozi na mishipa ya macho kuuma, alijaribu kuuliza baadhi ya watu wanasema aache kula chipsi.
Je kuna uhusiano wowowte kati ya kula chipsi na ugonjwa wa macho?
Good ideaAende kumwona daktari wa macho asisikilize ya mitaani ya kula chips.
CCBRT ipo pale Msasani
Ukitohoa kwa mbaaaaali na kwa sio mbali sana unapata tu uhusiano haikatai. Unajua kila kitu kipo connected.Je kuna uhusiano wowowte kati ya kula chipsi na ugonjwa wa macho?