Hasa chips inayopikwa sehemu chafu chafu huwa tamu sanaaaa kumzidi hata huyo KFC
Wamatumbi kufagilia uchafu mbona kawaidaNa unaona hii ni kawaida/sawa kabisa... SMH!
Wamatumbi kufagilia uchafu mbona kawaida
Mbona kawaida , na ukiwa msafi unaweza onekana unaringa kwenye jamiiHahahaha kazi ipo
Mtu anashabikia utamu wa chakula kichafu
Tunaolima viazi tunawahurumia kwa jinsi tunavoweka madawa kila wiki kuanzia siku ya kupanda hadi kuvuna mixer kupiga 'tyubu" vinenepe, mwanaume stuka acha kyepe kula ugali wa mtama na ulezi!Chips za mtaani zinabaki kuwa chips bora na tamu kuliko chips za sehemu yeyote ile.
Though upishi wa chips ni mmoja lakini bado utashangaa radha zinatofautiana au waungwana huweka vidawa.
Hasa chips inayopikwa sehemu chafu chafu huwa tamu sanaaaa kumzidi hata huyo KFC
Kwangu mie sio kawaida honestlyMbona kawaida , na ukiwa msafi unaweza onekana unaringa kwenye jamii
Ndio wamatumbi tulivyo sasaKwangu mie sio kawaida honestly
Kushabikia uchafu kwa kigezo cha usionekane unaringa ni ukichaa daraja la kwanza
Ndio wamatumbi tulivyo sasa
Lazima awe pure black, mfupi na tumbo kubwa , uso mpana na pua kg 5Hivi wamatumbi maana yake nini kwanza
Lazima awe pure black, mfupi na tumbo kubwa , uso mpana na pua kg 5
Ndivyo wamatumbi tulivyo🤗Mfupi,mweusi na tumbo kubwa ni kweli atapenda tu chips chafu
Wakulima wa mtama tunakucheka pia 😂😂 Hakuna sehemu uko salama hizo nyanya mpaka kitunguu, yaan mpaka hayo mafuta unakulaTunaolima viazi tunawahurumia kwa jinsi tunavoweka madawa kila wiki kuanzia siku ya kupanda hadi kuvuna mixer kupiga 'tyubu" vinenepe, mwanaume stuka acha kyepe kula ugali wa mtama na ulezi!
Hii speed uliyokuja nayo we mlevi ni balaa😀😀😀😀😀😀Lazima awe pure black, mfupi na tumbo kubwa , uso mpana na pua kg 5
Speed Gani Tena mama la mama😁Hii speed uliyokuja nayo we mlevi ni balaa😀😀😀😀😀😀
Ya kupiga spana Tu kwenye comment!Speed Gani Tena mama la mama😁
Basi sawa shibe wanguYa kupiga spana Tu kwenye comment!
Matter call wewe 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣nmecheka mwenyewe roadLazima awe pure black, mfupi na tumbo kubwa , uso mpana na pua kg 5