Chipsi za mtaani zinabaki kuwa bora na tamu

Matter call wewe 🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣nmecheka mwenyewe road
Hahaha unaenda wapi?
 
Chips kwa mwanaume ni mtihani,mi sishibi kabisa na zinaniletea hali gesi tumboni sijui kwann.. chips wale mabinti tu sio Men
 
Kwangu mie sio kawaida honestly

Kushabikia uchafu kwa kigezo cha usionekane unaringa ni ukichaa daraja la kwanza
Weakness yangu: hata nikiwa hotel ya nyota tano nakula chakula kizuri na vikolomwezo kibao, huwa si-enjoy kama nikiwa huku kwa kina kauzibe. Yes, nitakaa na kula kizungu kwa uma na kisu huku nafuata kanuni zote za ulaji wa kistaarabu, lakini kamwe sita-enjoy kama niko hizi sehemu za uswahili nakula.
 
Hata kvma za uswahilini, chafchaf zile zenye UTI sugu, kaswende, nk.nk ndizo huwa tamu, ila ukitoka hapo kuwa kabisa na stock ya kutosha ya Azuma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…