Alichokifanya Chirwa ni kufikisha ujumbe kuwa wachezaji wawe wanalipwa stahiki zao kwani wanaweza wakanya kitu ambacho kitailiza timu na kuokost.
Yanga timu yangu pendwa tuache janja janja za kuwatumia wachezaji huku hatuwalipi wanajikuta wanahangaika kupiga vibarua kama ambavyo amekuwa akionekana mchezaji wetu Chirwa akipiga vibarua kwenye madhamba ya mahindi
Ni hayo tu