Chirwa kumbe alipiga vibarua kwenye madhamba ya mahindiChirwa akipiga vibarua kwenye madhamba ya mahindi
Ni hayo tu
Na iwe hivo itapendeza sanaSawa tumeuchukua ushauri wako.
Tunaanza kwanza kumaliza deni la Okwi.
Nadhani somo ambalo tunatakiwa tujifunze ni kutochezesha mchezaji ambaye hajawa na timu yake au club yake ktk mazoezi ya pamoja na ktk mechi walizochezaja team mate wenzie...Alichokifanya Chirwa ni kufikisha ujumbe kuwa wachezaji wawe wanalipwa stahiki zao kwani wanaweza wakanya kitu ambacho kitailiza timu na kuokost.
Yanga timu yangu pendwa tuache janja janja za kuwatumia wachezaji huku hatuwalipi wanajikuta wanahangaika kupiga vibarua kama ambavyo amekuwa akionekana mchezaji wetu Chirwa akipiga vibarua kwenye madhamba ya mahindi
Ni hayo tu
Uko sahihi. Hata Roberto Baggio alipokosa penalti na kuipa Brazil Kombe la Dunia kule Marekani alikuwa akiidai nchi yake stahiki zake!Alichokifanya Chirwa ni kufikisha ujumbe kuwa wachezaji wawe wanalipwa stahiki zao kwani wanaweza wakanya kitu ambacho kitailiza timu na kuokost.