Chirwa, Ngoma wanaisaidia Azam?

Chirwa, Ngoma wanaisaidia Azam?

kavulata

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2012
Posts
13,778
Reaction score
14,214
Mimi Sioni faida yao Azam hadi sasa, au bado mapema?
 
Azam wanapesa Ila hawajui kuzitumia,maana makombo yote ya Yanga yanafail,angalia Domayo,kavumbagu,saiz ngoma na chirwa,baadaye makambo naye watamchukua,huwa najiuliza wanshindwaje kununua wachezaji wazuri wakati pesa wanayo?
 
Hivi Chirwa na Ngoma wana magoli mangapi kwenye Ligi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Azam wanapesa Ila hawajui kuzitumia,maana makombo yote ya Yanga yanafail,angalia Domayo,kavumbagu,saiz ngoma na chirwa,baadaye makambo naye watamchukua,huwa najiuliza wanshindwaje kununua wachezaji wazuri wakati pesa wanayo?
Kuna kiwanda cha 10% pale Azam.
Sera zao za usajili ni comedy.
Aiseee,basi Plujin amejivunjia sana heshima ila simlaumu itakuwa genge alilolikuta hapo Azam ndio linalofanya haya mazingaombwe.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nakubaliana nanyi ,Azam ktk suala la usajiri huwa wanabugi, ndio timu haijui inataka aina gani ya wachezaji

Mara waseme wanakuza vipaji kwa kupandisha vijana wao

Mara waje na hawa akina Ngoma
Inaonekana 10% pale lipo sana ,na Mzee Pluijm kaliona hilo anaenda nao sawa

MTC | 101| [emoji769]
 
Nadhani kuna madalali pale chamazi
 
Kwani Kuna nini Azam.
Mi naona Azam inafanya vizuri tu kwenye ligi ya Tanzania.

-Azam tayari ni mabingwa wa Mapinduzi Cup mwaka huu wa 2019 na wamelichukua mara tatu mfululizo.
-Azam inashika nafasi ya pili kwenye mbio za kuwania ubingwa wa Tanzania.

Au mnata Azam ifikie kiwango cha TP Mazembe ?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom