Makambo na Kagere wana misimu mingapi Yanga na Simba respectively?
Ndugu umewasahau watz kwa ujuaji.Tuna ujuaji mwingi wakiswahili hadi tunakera.Kwani Kuna nini Azam.
Mi naona Azam inafanya vizuri tu kwenye ligi ya Tanzania.
-Azam tayari ni mabingwa wa Mapinduzi Cup mwaka huu wa 2019 na wamelichukua mara tatu mfululizo.
-Azam inashika nafasi ya pili kwenye mbio za kuwania ubingwa wa Tanzania.
Au mnata Azam ifikie kiwango cha TP Mazembe ?
Sent using Jamii Forums mobile app
Lini waliipa Azam points tukakaa kimya?Kipindi wanaipa timu point hukuja kusema.. sasahv wamepoa ndio useme.
Ujuaji gani hapo,tulete hapa idadi ya magoli ya Chirwa na Ngoma kwenye Ligi Kuu Bara,au ndio mnataka kusema kuwa wao ni wageni Azam pamoja na Ligi Kuu?Ndugu umewasahau watz kwa ujuaji.Tuna ujuaji mwingi wakiswahili hadi tunakera.
Mwanzo walianza vizuri Ila baada ya kuanza kufuata nyayo za wakongwe wamepotea njia maana wanaokoteza mizoga tuSifia basi hata walivowanunua Kipre Tchetche, Wawa, Mugiraneza, Nyoni, Yakub Mohamed, Razack Abarola! Yaani kabisa unaidharau timu ambayo imekupa watu kama John Bocco, Shomari Kapombe, Gadiel Michael, Erasto Nyoni! Kwa wivu huu na kama hamuoni umuhimu wa Azam, nachekea kusema ngumu sana kama taifa kuja kuona umuhimu wa timu kama Mtibwa ama Singida!
Lakini pia msijisahaulishe mchango wa Azam Fc Ktk soka la Tanzania! Leo hii ikitajwa national team, takribani nusu ya wachezaji Ktk profile zao wataitaja Azam Fc!
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hiyo kwa akili zako SANCHEZ wa MAN U mbovu?Makambo na Kagere wana misimu mingapi Yanga na Simba respectively?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kipindi wanaipa timu point hukuja kusema.. sasahv wamepoa ndio useme.
Kukuza vipaji ni suala moja na kununua wachezaji ni suala lingine. Katika soka yote muhimu. La Macia ya Barcelona inatoa wachezaji na bado wananunua, tena wananunua kwa bei mbaya.
Ktk soka, usajili ni kama kamari. Mchezaji mzuri, lkn akija kwako anaweza kufeli. Casillas wa Coastal Union, aliwika Mtibwa akaenda SIMBA, akafeli! Hamis Diedo aliwika YANGA, kufika SIMBA, Majanga! Emmanuel Sheyi Adebayor alikuwa moyo kwa Wenger, alipoenda City, Madrid na Tottenham hakuna alichofanya kwenye Pitch! Leo Sanchez anaonekana kituko pake United! Juan Sebastian Veron alifeli MAN U, akaenda zake Italy, aliporudi EPL kwa Chelsea akawa moto! Mo Sala alifeli Chelsea, leo wa moto pale Liverpool!
Ngassa alikuwa wa moto YANGA, lkn alipotua Azam na SIMBA hakuna cha maana alichofanya! Mtibwa waliwahi kumuuza ZUNGU kwenda SIMBA na baadae MKOPO Azam, Zungu hakuwa bora km alivokuwa Mtibwa!
Leo kwenye SPORTS AM ya Azam Sports, HAMIS KINYE akiwa na SUNDAY MANARA, KINYE analalamika MADALALI wamejaaa SIMBA na YANGA plus 10% na matokeo yake uwanjani hakuna ubora wa mechi za watani!
Sio mara zote usajili wa mchezaji nyota unaweza kukulipa! Usajili ni km BAHATI NASIBU!
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa miaka ya Karibuni, ukiacha THIERRY HENRY na CESC FABREGAS, Barcelona waliwanunua kutoka Arsenal wachezaji kama ALEXANDRA HLEB. ALEXANDRA SONG na THOMAS VERMALEN, na wote walinunuliwa wakiwa Ktk viwango bora kabisa pale Arsenal, lkn walipofika NOU CAMP, walikuwa kama wana Matende!Nimekuelewa
MTC | 101| [emoji769]
Wanapoint ngapiKwani Kuna nini Azam.
Mi naona Azam inafanya vizuri tu kwenye ligi ya Tanzania.
-Azam tayari ni mabingwa wa Mapinduzi Cup mwaka huu wa 2019 na wamelichukua mara tatu mfululizo.
-Azam inashika nafasi ya pili kwenye mbio za kuwania ubingwa wa Tanzania.
Au mnata Azam ifikie kiwango cha TP Mazembe ?
Sent using Jamii Forums mobile app