Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 24,314
- 38,919
We utakuwa mke wa mtu Si bure
Nimeandika mara kadhaa humu kuhusu azam kwa ujumla , nadhani kuna kiongozi mle azam ambaye amepangwa makusudi kuhujumu azamMimi Sioni faida yao Azam hadi sasa, au bado mapema?
Na huyo kiongozi atakuwa ana Vinasaba na MikiaNimeandika mara kadhaa humu kuhusu azam kwa ujumla , nadhani kuna kiongozi mle azam ambaye amepangwa makusudi kuhujumu azam
Jina na hamasa labda ndio vinaiangusha Azam. Timu inahela, haina migogoro lakini bado haizipi changamoto timu kongwe hizi, ndani ya misimu mitano iliyopita Azam angalau ingechukua ligi Mara 2 , shida wachezaji wanapovaa jezi za Azam hawazichukulii uzito kama wakivaa za Simba au Yanga, mfano wakina Manula,Bocco, Nyoni, Kapombe, wameenda Simba tuu ligi wamechukua na Makundi Africka wamefika, najiuliza walishindwa nini wakiwa na jezi za Azam??
Sent using Jamii Forums mobile app
Nakubaliana nanyi ,Azam ktk suala la usajiri huwa wanabugi, ndio timu haijui inataka aina gani ya wachezaji
Mara waseme wanakuza vipaji kwa kupandisha vijana wao
Mara waje na hawa akina Ngoma
Inaonekana 10% pale lipo sana ,na Mzee Pluijm kaliona hilo anaenda nao sawa
MTC | 101| [emoji769]
Kwani Chirwa, Ngoma, kutinyu, abarora, nkangwa, nk ni watanzania? Mbona hawafanyi kweli?Huenda wanafanya makusudi tu, wanaona bora ichukue ubingwa yanga au simba tim ambazo washawahi kuchezea/kusajiliwa hapo nyuma kuliko Azam.
Namshauri Azam asajili wachezaji kutoka nje, aachane na wazawa wenye damu na usimba na uyanga. Wanakula pesa za bure tu