chisimasi ndani ya Bongo

RayB

JF-Expert Member
Joined
Nov 27, 2009
Posts
2,751
Reaction score
200
Sijui kama hii ina fiti humu! Sio mchaga lakini chismasi ntakuwa Bongo. Naondoka Londoni kesho na sehemu ya kwanza kufika ni Mikocheni pale AAR Container kwa ajili ya mnyama aka Mbuzi katoliki nimemmis kichizi akiwa real sio mabacon. Kwa yeyote mwenye interest anaweza akatokea akifika jikoni akijitambilisha ni mwana JF basi full maservice mi ni kijiwe changu kila nikifika Bongo. CHISMASI NJEMA
 
na mimi nitakuwa bongo kuanzia trh 22 dec
 
sawa tutajitambulisha but si utupe full details zako ili tukija tuji introduce and tuulizie jina lako?au nije kuku pic?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…