donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,128
- 21,885
Online Pastor, unaitwa kwa ajili ya mibaraka zaidi! Mimi nimefumba macho, nasubiri sala.Wakuu,
Habari za asubuhi? Wengine ndio tunatoka job since yesterday ndio tunaingia majumbani kwetu now. As wakuu wengine washatangulia church, hebu watu wajitolee waendeshe ibada hapa sasa hivi ili nasi wengine tupate kubarikiwa kwa maana neno lasema wakusanyikapo wawili watatu katika jina langu nami hua kati kati yao (whether virtually or physically).,haya watumishi tuanze kazi.
Mimi mwenyewe najiandaa kupokea hapa upakoOnline Pastor, unaitwa kwa ajili ya mibaraka zaidi! Mimi nimefumba macho, nasubiri sala.
Usije niuliza nimeonaje comment yako wakati nimefumba macho! Nilipata notification sound! Naendelea kusubiri.Mimi mwenyewe najiandaa kupokea hapa upako
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Usije niuliza nimeonaje comment yako wakati nimefumba macho! Nilipata notification sound! Naendelea kusubiri.
Lugha ya Bible huwa naipenda sana. Hapo palipoandikwa "I knew you" kwa kiswahili pangeandikwa "Nalikujua"! Safi ajabu!
[emoji23] [emoji23]Usije niuliza nimeonaje comment yako wakati nimefumba macho! Nilipata notification sound! Naendelea kusubiri.
Hujaenda kanisani eeh[emoji144]
Naamini uliiona shauku yetu ya nyoyo, zetu juu ya NENO! Nawe umefanya lililo jema sana. Amen!
Nimeenda japo nilichelewa...Hujaenda kanisani eeh
Kuchelewa huko veepeNimeenda japo nilichelewa...
Barikiwa sana mkuuNaomba tulitafakari hili neno:
(Zaburi 27:4)
Neno Moja nimelitaka kwa Bwana, Nalo ndilo nitakalolitafuta, Nikae nyumbani mwa Bwana Siku zote za maisha yangu, Niutazame uzuri wa Bwana, Na kutafakari hekaluni mwake.
Barikiwa ni kweli kabisa napenda kutumia amplified bible
Uchovu wa kutwa nzima so usingizi ukatake advantage [emoji38][emoji38][emoji38]Kuchelewa huko veepe