OGTV JF-Expert Member Joined May 22, 2016 Posts 353 Reaction score 167 Jun 13, 2016 #1 Kiongozi wa chama cha ACT wazalendo ametoa ufafanuzi wa habari zilizotapakaa kuwa anasakwa na polisi kwa udi na uvumba na kutoa yake ya moyoni
Kiongozi wa chama cha ACT wazalendo ametoa ufafanuzi wa habari zilizotapakaa kuwa anasakwa na polisi kwa udi na uvumba na kutoa yake ya moyoni
Papushikashi JF-Expert Member Joined Feb 28, 2016 Posts 10,963 Reaction score 13,287 Jun 13, 2016 #2 Ndio hamuogopi na mimi simuogopi
Bavaria JF-Expert Member Joined Jun 14, 2011 Posts 53,092 Reaction score 53,496 Jun 13, 2016 #3 Magufuli jukwaani tu. Nje ya hapo.....
KWEZISHO JF-Expert Member Joined Jan 29, 2016 Posts 7,519 Reaction score 6,518 Jun 13, 2016 #4 Kwani nani anamuogopa. Hii dhana ya kuogopana haipendezi kwa nchi yenye dhamira ya kujenga demokrasia.
Kwani nani anamuogopa. Hii dhana ya kuogopana haipendezi kwa nchi yenye dhamira ya kujenga demokrasia.