"Chizi" Benard Morrison kwenye game ya Al Hilal

Hiki ndo kitu kinamfanya afeli, kutaka kushindana na mashabiki

Wachezaji wengi wametoka Yanga SC kwenda Simba SC na wakafanikiwa and vise versa na siri yako ilikuwa ni kukaa kimya na kufanya kazi ground

Ila huyo chizi anataka kushndana na mashabiki, Kila la heri kwake
 
upo sawa mkuu. Ila hii ndio rangi yake halisi imekuwa ngumu kuificha, aachwe afurahie maisha yake
 
Mkataba wake ukiisha pandeni dau la kumrudisha Jangwani.
Yeye anatafuta pesa tu ndo ninavyojua.
Mbona Niyonzima amerudi wakati mlichoma hadi jezi zake kwa Jazba.

Wachezaji wanatafuta maslahi yao na sio mapenzi na timu flani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…