CHIZI KWELI HUYU

super black

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2016
Posts
566
Reaction score
533
Chizi mmoja kavaa Miwani, Jicho likawa lamuwasha akaanza kukuna miwani.[emoji15]
Jamaa akamuuliza mbona unakuna miwani? Chizi akajibu we ukiwashwa Matako utavua Suruali???[emoji87]

MASWALI YA KIJINGA SIPENDI[emoji23][emoji23][emoji23]


[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji100]

Mungu Ni Mwema
 
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
 
Huyo sio chizi kwani asingeweza kujibu kwa ufasaha hivyo, kama huvui suruali ili ujikune kuna haja ya kuvua miwani? Huku jf ni raha tupu, stress yangu imeondoka ni kicheko tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…