Chizi mmoja kavaa Miwani, Jicho likawa lamuwasha akaanza kukuna miwani.[emoji15]
Jamaa akamuuliza mbona unakuna miwani? Chizi akajibu we ukiwashwa Matako utavua Suruali???[emoji87]
MASWALI YA KIJINGA SIPENDI[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji100]
Mungu Ni Mwema