Chizi maarifa

Chizi maarifa

Pana mtu humu anatumia I'd ya chizi maarifa huyu mtu kuna siku nilimpongeza sana pana member walipishana kauli basi yule member akamtukania chizi maarifa mzazi wake basi chizi aliandika maneno haya "kwetu nimefundishwa nisimtukane mzazi wa mtu kwani nami pia ni mzazi wangu "ilikuwa bonge la jibu kwangu na nikajua huyu kweli chizi ila maarifa yapo. Samahani mleta uzi kama nitakuwa nimekukwaza kwa kuchepuka kidogo.
 
[emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji12] [emoji12] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom