FK21 JF-Expert Member Joined May 27, 2019 Posts 8,600 Reaction score 10,760 Nov 20, 2023 #1 Kwa mliangalia uwezo wa uyu mdada walahamuwezi kubisha kabisa anaujua mpira haswa tena haswa kipaji chake kinaweza kulingana na Cha AZIZ K Ni fundi haswa wa Mali huwezi mkinai kumuangalia.
Kwa mliangalia uwezo wa uyu mdada walahamuwezi kubisha kabisa anaujua mpira haswa tena haswa kipaji chake kinaweza kulingana na Cha AZIZ K Ni fundi haswa wa Mali huwezi mkinai kumuangalia.
N nguvu JF-Expert Member Joined Jun 13, 2013 Posts 22,976 Reaction score 22,564 Nov 20, 2023 #2 Na hivi ndivyo anavyowaza FK21 akivutà ganja
Lord Delamere in Kenya JF-Expert Member Joined Nov 26, 2018 Posts 3,988 Reaction score 8,021 Nov 20, 2023 #3 Weka basi picha yake ikionyesha kitumbia chake kilichotuna. Hakuna picha napenda kama za hao wanawake wacheza soka. 😆🤣
Weka basi picha yake ikionyesha kitumbia chake kilichotuna. Hakuna picha napenda kama za hao wanawake wacheza soka. 😆🤣
FK21 JF-Expert Member Joined May 27, 2019 Posts 8,600 Reaction score 10,760 Nov 21, 2023 Thread starter #4 nguvu said: Na hivi ndivyo anavyowaza FK21 akivutà ganja Click to expand... Uhakika
Mtani wa Taifa JF-Expert Member Joined Aug 2, 2023 Posts 953 Reaction score 3,318 Nov 21, 2023 #5 Huyo ni mwepesi kuliko konde boy
edwayne JF-Expert Member Joined Apr 5, 2013 Posts 8,919 Reaction score 9,797 Nov 21, 2023 #6 Haiwezekani... Timu ya taifa ya Australia ya wanawake ilifungwa na wanafunzi wa sekondari goli kumi na 5 [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wanawake wanaweza shindana wenyewe tuu
Haiwezekani... Timu ya taifa ya Australia ya wanawake ilifungwa na wanafunzi wa sekondari goli kumi na 5 [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wanawake wanaweza shindana wenyewe tuu
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 Nov 21, 2023 #7 Anajitahidi...
A Aleyn JF-Expert Member Joined Nov 12, 2011 Posts 21,058 Reaction score 36,272 Nov 21, 2023 #8 Kwa Simba hii huyu hawezi kukosa namba.