Kitaalam unashauriwa usitumie dawa hii wakati wa ujauzito ama kama unanyonyesha.Chloramphenicol inaweza kufyonzwa systematically ingawa huwekwa jichoni kwa njia ya matone.
Pia inaweza kuvuka kondo (placenta) na kumuathili mtoto (fetus) tumboni,na inaweza kuingia katika maziwa ya mama hivyo kuleta shida kwa mtoto anayenyonya.
Kwa ujumla dawa hii haifai kwa matumizi wakatii wa ujauzito na unyonyeshaji.
Wakati wote ambapo una ujauzito haipashwi kutumia dawa bila kumfahamisha dr juu ya hali yako. Isitoshe chloromphenical ni antibiotic kali na sio over the counter drug (hairuhusiwi kununua bila maandishi ya dr)
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.