Kitaalam unashauriwa usitumie dawa hii wakati wa ujauzito ama kama unanyonyesha.Chloramphenicol inaweza kufyonzwa systematically ingawa huwekwa jichoni kwa njia ya matone.
Pia inaweza kuvuka kondo (placenta) na kumuathili mtoto (fetus) tumboni,na inaweza kuingia katika maziwa ya mama hivyo kuleta shida kwa mtoto anayenyonya.
Kwa ujumla dawa hii haifai kwa matumizi wakatii wa ujauzito na unyonyeshaji.