Chloroquine ni antivirus ya virusi vya Corona

Chloroquine ni antivirus ya virusi vya Corona

MakinikiA

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2017
Posts
5,104
Reaction score
6,827
Mojawapo ya dawa hizo ambayo tayari imejaribiwa katika binadamu ni dawa ya remdesivir - dawa ya virusi vya UKIMWI ambayo bado inafanyiwa utafiti ambayo imejaribiwa dhidi ya magonjwa kama vile Ebola na SARS/MERS.

Dawa nyingine ni ile aina ya Chloroquine, dawa ya kukabiliana na malaria ambayo pia ina uwezo wa kukabiliana na virusi.

Inajulikana kuwa na uwezo wa kuzuia maambukizi.

Dawa za kukabiliana na virusi zimependekezwa na watafiti kutoka Chuo kikuu cha Ural Federal, Urusi kuwatibu wagonjwa wenye virusi vya corona

Haki miliki ya picha: GETTY IMAGES

Image caption: Dawa za kukabiliana na virusi zimependekezwa na watafiti kutoka Chuo Kikuu cha Ural Federal, Urusi kuwatibu wagonjwa wenye virusi vya Corona.
 
Hivi vidonge vina ladha mbaya sijapata kuona
 
So hii 'virus' ya Corona, ni curable?

Huwa tunaambiwa kuwa jamii yoyote ya Virus ni incurable! Only preventable by Vaccine.

-Kaveli-
 
So hii 'virus' ya Corona, ni curable?

Huwa tunaambiwa kuwa jamii yoyote ya Virus ni incurable! Only preventable by Vaccine.

-Kaveli-
kwa corona itawezekana tu😳😳
 
Back
Top Bottom