Chochonde,tunapofanya madudu yetu,hebu tuwakumbuke watoto alaaaaa!!

Kwanini mimba zilazimishwe kutoka, wakati mna uwezo wa kuzuia mimba isitungwe vipi kama wewe ungetolewa ungengia JF ukiwa akhera? gharama za uzuiaji zinapatikana bure jamani. Inasikitisha sana kusikia / kuona watoto wakinyanyasika mitaani.

TaiJike ila idadi kubwa ya watu hawajafanikiwa kuzuia mimba kwa njia hizo,nadhani ni asilimia chache sana.Hata hivo tukitoa tutakuwa tumefanya mbinu ya kumwepusha yule mtoto ambaye angezaliwa ktk mazingira magumu.
btw nimekumiss bby
 

hayo nayo maneno
 


Petcash,what a circle that is?Linipitaga pale fire siku moja nikawakuta watoto wawili wamefanana,nafikiri ni mtu na dada ake wako age sawa na watoto wangu,walikuwa wanacheza kwa upendo kabisa huku wanaendelea kuomba hela,machozi yalinitoka kwamba inawezekana wale watoto ni makosa madogo ya sisi wazazi yamepelekea wale watoto kuwa pale.Kwamba ni tamaa au uzembe wa mtu mmoja unasababisha watoto wale kuwa hapo walipo.

Na lifestyle ya sasa hivi watoto wale kuja kujikomboa ni miujizi ya mwenyezi mungu,sio kama generation yetu mtu uliweza kutoka from nobody to somebody kwa kuzingatia elimu ya bure,sio kama sasa
 
mi nachukia sana mtu mzima akiwa anakojoa anaambiwa kojoa baby
wakati mtoto akikojoa anachapwa tena wote tendo hilo hulifanya wakiwa
kunako sita sita........sasa hapo wakitumia kinga ile kitu inabaki kwenye kinga wakati
inahitajika ule ujoto aahahahahahahahahaha
 
Kutoa mimba ni kuua kama kuchinja tu na ni Dhambi

Tuheshimu ndoa zetu na Tumwogope Mungu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…