Chokaa na gypsum powder ipi bora?

Naweza tumia white cement nje na ndani? Msaada
Ndio white cement hutumika ndani na nje but jambo la kuzingatia upande wa nje hakikisha inachanganya na rangi nyingi ili iwe na nguvu zaidi isilete mipasuko, pia katika ubora zaidi unaweza tumia cement ya kawaida ukaichanganya na rangi/gundi ya PVA vizuri hutoa matokeo imara kwa skiming
 
Shukrani
 
Tumia wall putty ndio sahihi kwa ukuta gy
Naweza tumia white cement nje na ndani? Msaada
psum ni kwa ajili ya gypsum board ila sasa hivi imekuja wall putty
 
Gypsum zinashika moto pia
Una uhakika?
Ile box ndiyo inashika moto--lakini ndani yake kuna hio gypsum--ambayo ina uwezo wa kuzuia moto kuendelea.
Siku moja chukua kipande kidogo ti cha gypsum ukichome from one surface--utaona!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…