Chokaa ya Kutengeneza chaki.

Singidan

JF-Expert Member
Joined
Aug 24, 2015
Posts
881
Reaction score
942
Habari wanajukwaa! Ni matumaini wote wazima.

Kwanza kabisa, siku za nyuma niliwah kupost juu ya chalks project na nilikuwa naulizia juu ya upatikanaji wa mashine, nashukuru nimempata mtengenezaj hapahapa tz. Hivyo sasa nimekuja tena ili kukamilisha project kwan hatua zote tayar za masoko na location,

Nahitaji anaeuza chokaa ya kutengenezea chaki, kwan nahtj sana!

Lakini pia kwa faida ya wengi anaefahamu utofaut wake na hii ya kawaida au ni the same?
 
Naomba nitoke nje ya mada kidogo,Unataaluma gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…