Pia cholera haisababishwi na virus.
Watanawaje mikono wakati Nairobi tu kuna shida kubwa ya maji!Maeneo mengi ambapo cholera outbreak ilikuwa ikiwatesa kila mwaka sasa hivi kuna nafuu maana wengi wananawa mikono na sabuni bila kupenda na wamepunguza mizunguko na kulakula hovyo mitaani (poor/potentially contaminated water & food) kwa sababu ya COVID19
Cholera haisababishwi na virus...ni bacteria aitwae Vibrio Cholerae
Wajinga sana wakenya, ila Magufuli anaanza kuwazindua, siku hizi hata ukisikiliza mazungumzo yao, wanaanza kuonekana wanaanza kujitambua.Kenya ni Nchi ya wajinga
Kenya hawana vyoo, wanarusha mavi hewani (Flying toilets) pale Nairobi na sehemu zingine, mvua ikinyesha yanabebwa na kupelekwa katika vyanzo vya MAJI, unategemea nini?Maeneo mengi ambapo cholera outbreak ilikuwa ikiwatesa kila mwaka sasa hivi kuna nafuu maana wengi wananawa mikono na sabuni bila kupenda na wamepunguza mizunguko na kulakula hovyo mitaani (poor/potentially contaminated water & food) kwa sababu ya COVID19
Cholera haisababishwi na virus...ni bacteria aitwae Vibrio Cholerae
Kumbe na cholera ni virus? Sijui shule ulikwenda kusoma nn
Sent from my iPhone using JamiiForums