hichi ni kichekesho nacho? au ni stress zakoPamoja na kudhihakiwa sana mitandaoni huyu dogo anazidi kung'ara duniani. Apewe support na vyombo husika. Watanzania wanahitaji hv vipaji kuondoa stress
umepanicPole Dada
Kocha tupo naye mtaa mmoja Nungwi lakini hachekeshi labda yale matusi yake na umbile lakeKomedian wa ukweli ni KOCHAMNUNGWI