Cholo Comedian azidi kung'ara

Kuna yule mwengine sijui anaitwa chipe mweusi hivi alikuwa anapigapiga picha naona amepotelea wapi
 
Dah.. wavulana mnaokoment humu mna chuki kali kwa dogo ka mama wa kambo mja mzito...kmamae..

Mwenzenu anajaribu kujikwamua ..kmamayo zenu..

Cholo songa mbele..
 
Anakuzidi pesa saivi... Bakini hivyohivyo .
Jambo la maana kama sanaa ishaanza kumlipa. Na ndio inachotakiwa umaarufu uendane na kipato
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…