Chombeza...

Mkeshahoi

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2009
Posts
2,469
Reaction score
284
Mamiss na warembo...
wajisikaje unapotongozwa/chombezwa na jamaa kupitia sms...tofauti na zamani ambapo anaetaka kutangaza nia anakukabili uso kwa macho?:hug::hug:
 
huwa sijibu, kwa kuwa najisikia au naona men mwenyewe hajitambui, hajiamini.
 
huwa sijibu, kwa kuwa najisikia au naona men mwenyewe hajitambui, hajiamini.
lanikini ndo zama za leo.... watu wanachomekeana/wanategana sana kupitia Simu hasa sms!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…