Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 25,258
- 48,589
- Thread starter
-
- #81
MIMI: * Nikamuangalia jackline kwa macho flani hivi ya kuvunjwa moyo, akaniangalia kwa macho Kama ya mtu anayesema "sio hivyo sir " ,,ukweli ni kwamba.. Jackline ndiye aliyekuwa akikwepa vipindi Mara kwa Mara ,lakini naanzaje sasa kumwambia madam hilo ?? **
MADAM: kwahiyo Ndo huwa nakulipa kwa hilo???
MIMI: sio hivyo Madam . Naweza kukuelezea, eeemmmm.
***kabla sijaongea neno, Mara...
JACKLINE:hapana mamy ,muda mwingi, huwa ananifunza kwa mdomo tu! , ndo maana huwa naandika vichache mammy, sir anajitahidi Sana, hujui tu.
MADAM: lakini sijaridhika bado .Mitihani yako ya mwisho imekaribia ni Kama imebaki miezi mitatu tu, na safari hii siwezi kuvumilia kuona ukifeli tena.
MIMI: Nitafany kila navyoweza madam!.
MADAM: na hivyo ndo nataka sasa, yani ningependa uwe unamfundisha hata Siku nzima kabisa, ikiwezekana jumamosi na jumapili umfundishe pia, hata baada ya chakula cha jioni .. Ingekuwa vizur Kama ungekuwa ukimfundisha kabla hajaenda kulala. Kuhusu pesa tutaongea, nachotaka awe bora kabisa.
MIMI: sawa Madam . Lakini kuhusu vipindi baada ya chakula cha jioni, itakuwa ngumu kidogo kwa sababu ya eneo nalo kaa . Isitoshe ni hatari Sana kutumbea Maeneo hayo usiku.
MADAM: basi anza kuishi hapa kwa muda wote, Kwanza tayari nimeisha kupa chumba hapa Sema tu ni wewe mwenyew hutaki kukitumia, alvine ninapendelea wewe ukae hapa ili angalau unisaidie kumnyoosha huyu sikitu kwa mkono wako mwenyewe maana naona jackline hawezi kumdhibiti bila mimi kuwepo.
MIMI: ok Madam , hakuna shida.
Sikitu alifika kama kawaida. Alikuwa ni Kama kuna kitu.. Anataka kuniuliza afu anapotezea!! Nikajua kabisa.. Kitakuwa kinahusiana na lile tukio la Jana chumbani kwa jackline... Hivyo sikutaka kuliongelea kabisa nikawa Nasubiri aanze kuliongelea yeye!
SIKITU: Alvine , hivi ni nini kinaendelea kati yako na aunty Jackline? Plz Naomba usinifiche.. Nambiee tu
MIMI: Mimi ni mwalimu wake na yeye ni mwanafunzi wangu.
SIKITU: Nalijua hilo mbona , nataka unambie kile kilicho jificha!! Kile ambacho mimi sikijui!! ??
MIMI: kilicho jificha!!!??? Kitakuwa kitu gani hicho labda??
SIKITU: unajifanya hukijui eeh?? , Nilijua tu lazima utajifanya hujui. Sasa ww usijali wala nini!! Endelea kuvunga tu!! Umenisikia?? * aliongea huku akiwa kachukia Sana *
MIMI: ** nikamsogoelea karibu, kisha nikamshika begani!! Sikkybaby, ukweli,, sijui unaongelea kitu gani, plz labda Unifafanulie zaidi!!?
SIKITU: * akakaa kimya kwa muda * sawa, ni kitu gani kilitokea chumbani kwa aunty jackline jana? Kwa sababu nilimsikia akipiga kelele na kugugumia Kama mtu aliyekuwa akifanya mapenzi!??? Kabla ya nyinyi wote wawili kutoka nje?? ??
MIMI: ohoo ..kumbe sikitu alisikia . Hakuna kilichotokea mpenzi wangu . Aliniambia tu kompyuta yake ilikuwa na matatizo ,ndo nikawa nimeingia chumbani kwake kumtengenezea .
SIKITU: Enhe! Ulipo ingia..!!??
MIMI: baada ya kuwa nimemaliza kuilekebisha akanambia.. Anataka kujiunga na bongo movie na akanambia kuna kampuni kubwa la movie alienda kufanyiwa usaili.(interview)
SIKITU: endelea
MIMI: kisha nikamuuliza kilichotokea kwenye usaili , akaniambia waliambiwa Waigize kipande kidogo cha mapenzi
SIKITU :Endelea, nakusikiliza..
MIMI: akasema alitakiwa kuigiza tukio la mapenzi na kijana mmoja hivi huku akipiga kelele za mahaba na kugugumia. Ndo nikamwambia aonyeshe jinsi alivyokuwa akifanya, na hicho ndo kikawa chanzo cha wewe kuzisikia zile kelele!!
SIKITU: una uhakika kwamba ni hicho tu ndo kilifanyika?
MIMI: niamini mpenzi wangu... Hakukuwa na kingine tofauti na hicho baby.
SIKITU: ok love, nimekusikia, nilidhani kuwa nyinyi wawili mlifanya mapenzi ** alinikumbatia na kunikiss **. Kwahiyo unahamia lini ndani ya nyumba yetu?
MIMI: wikendi hii.
SIKITU: hiyo ni nzuri, tutakuwa tuna ibia ibia usiku wa manane.. Tunafanya mapenzi kwenye vyumba vyetu.. Sindiyo??
MIMI:Hilo sio wazo zuri Sikitu. Madam hatatusamehe ikiwa tutakamatwa. Wacha tuendelee na ratiba yetu ile ya kila ijumaa usiku pamoja na Siku za soko ukija nyumbani kwangu.
SIKITU: nilikuwa natania tu . Sawa nimekuelewa
MIMI: ok Sikkybaby
SIKITU: aahhmm jambo moja zaidi, hakitakiwi kutokea chochote Kati yako na aunty jackline ,, la sivyo!!!!!
MIMI: " la sivyo "!! Nini sasa ?
SIKITU: Nitasema kila kitu. Yani Kama aunty Jackline akijaribu kunyakua mali yangu, ni bora niharibu kila kitu.. Na niko serious kwa hilo .
MIMI: **mmh inonekan hatanii kabisa!! *???? "
Basi sikitu aliondoka kwenda sokoni, huku nyuma mimi nikizidi kujiuliza nitawezaje kuishi white house.. Bila chochote kutibuka.
Ilipofika Ijumaa mchana , nikampigia simu madam na kumjulisha kuwa Siku hiyo ndo ningeamia white house rasmi!
Nikachukua baadhi ya mashati yangu,, suruali kadhaa, viatu na vitu vingine vidogo vidogo Kama pafyumu.
Nilifika White house usiku Huo , nikapokelewa na Familia Nzima . Sikitu alinisaidia mizigo yangu Na Kuipeleka chumbani kwangu, kisha mimi nikabaki Nimekaa pale Sebureni kwenye sofa.
MADAM: Mr Alvine , natumai Unakumbuka kwanini uko hapa?
MIMI: ndio madam
MADAM: jisikie Huru kabisa na ukihitaji chochote ,usisite kusema , Sikitu yupo hapa atakupatia! Cha msingi tu hakikisha mwanangu jackline anapata elimu iliyo bora zaidi. Usisahau kuwa hatakiwi kufeli tena wakati huu .
MIMI: sawa madam, nimekuelewa!
Jackline alikuwa amekaa upande wa pili wa sofa akinikonyeza tu muda wote!
Sikitu alirudi Toka jikoni, kumtaarifu madam juu ya kile alicho kuwa akipika.
"Alvine, chakula cha jioni kitakuwa tayari hivi karibuni, kuwa na subira tu. Unaweza Kwenda chumbani kwako ufanye kupumzika muda huo . Jackline ataanza masomo yake "baada ya chakula cha jioni" leo "alisema madam. Nilisimama kutoka pale kwenye sofa nilipo kuwa nimekaa , nikaondoka kuelekea... Kilipo chumba Ambacho kime-andaliwa kwa ajili yangu
Nikaingia chumbani ? *
Chumba kilikuwa kimeandaliwa vizuri Sana! Nikasogea mpka kitandani .. Ile nakaa tu hivi ,Mara ikaingia SMS kwenye simu yangu. Nilipochek vizur kwenye skrini ..ilikuwa ni sms kutoka kwa jackline "karibu Sana , nitakufanya ufurahie wakati wote utakao kuwa hapa ?? ".
ohoo, huyu msichan, atanisabishia matatizo ?? ??????*
Saa Moja Kama na nusu hivi . Chakula cha jioni kilikuwa tayari, Sikitu alitumwa kuniita. "Ko ko ko ko" aligonga, ni Mimi sikitu , chakula cha jioni kiko tayari. Nilifungua mlango na kumkuta Sikitu bado kasimama pale mlangoni. Nilimtazama, akanitizama pia huku akitabasamu.. Kisha kwa sauti ya chini akasema "asante Mungu leo ??ni Ijumaa".
Nilikwenda sehemu ya kulia chakula (dinning) , nikawakuta ,Jackline,, Brighton na madam wakiwa wameketi tayari, niligundua Sikitu hakuwepo pale mezani..ila Sikuweza kuuliza...Nikahisi tu labda kwasababu yeye ni mfanya kazi wa ndani.
Wakati tukipata chakula, Madam akaanzisha mada kuhusu masuala ya kibenki na jinsi wanavyo wafunza watu wenye taaruma mbalibali na jinsi wanafunzi wa uhandisi wanavyopata kazi kiurahisi kuliko hata wanafunzi wa benki Nikawa Nachangia na kujadili kwa busara juu ya hiyo mada , kiasi kamba madam mwenyewe alishangazwa na kufurahishwa sana na jinsi nilivyoongea na kuonyesha uelewa mkubwa Sana . Akanipiga kidogo kwenye paja huku akinambia "Good Boy " biringanya langu likashtuka kidogo. nilishangaa na kushtuka kwa sababu mkono wake ulikuwa kidogo tu.. Utue kwenye biringanya langu.
"Jackline , hebu fanya upesi na ujitayarishe na masomo" madam alimwambia Jackline.
Madam akasimama na kutembea taratibu kuelekea chumbani kwake. . "Ah! Mungu wangu, Madam anaonekana mwenye mvuto Sana akiwa katika yale mavazi ya usiku , alikuwa amevalia vazi flani jepesi fupi linalo ishia juu kidogo ya magoti!! Madam alikuwa Aina flani ya kinamama wale wenye mvuto! Alikuwa Mrefu Mrefu Mwenye sura nzuri,, macho mazuri.... Lips ndo usiseme! Bila Kusahau rangi ya ngozi yake ???????? ??
Madam ni Miongoni Mwa kina-mama, ambao ni warembo haswaa! Pengine hata mabinti, wasingeukaribia kabisa muonekano wake ****
Alikuwa na kifua kipana, Chenye Dodo Kubwa cha Ajabu zilikuwa Bado zimesimama! Afu Nyuma Kajaliwa Msambwanda Kama wote! Basi Wakati anatembea kuelekea chumbani kwake... Dodo zake zikawa zinanesa nesa taratibu huku msambwanda ukitikisika kushoto kulia..kushoto kulia!! Nikawa nimemtolea macho kodo . Niliacha kumtazama pale Jackline alipogundua mwelekeo wa macho yangu. Nakunikata jicho Kali Sana ?? .. Huku akinikazia sura.
Nilimfundisha Jackline hadi majira ya saa tatu na nusu . Muda wote huo alikuwepo tu Kama mtu aliye lazimishwa kusoma.… kuna kitu kilitokea usiku huo. Majira Kama ya saa nne hivi Madam alitoka chumbani kwake akiwa amevalia vazi flani la mikono mirefu na sketi ndefu . Kisha Akamwita jackline kumjulisha kuwa ulikuwa ni wakati wa kwenda mkesha., Jackline akasema hajisikii vizuri sana hivyo hatoweza kwenda.
Madam aliingia chumbani kwa Sikitu, akatumia Kama dakika 15 hivi kabla ya kutoka na kutuaga! Kisha akaingia kwenye gari (jeep) yake na kwenda kanisani.
Mara tu baada ya Madam kuondoka, niligundua kuwa hakuenda na Brighton pia, hapo, kwa mbali machale yakaanza kunicheza. Niliamini kuwa lazima Madam atakuwa amemwambia sikitu atutizame mimi na jackline kwa ukaribu kabisa.nikajua pia atakuwa kamuacha Brighton kwa sababu ile ile. Wakati Nikiwa Sebureni namalizia malizia kipindi na jackline, Sikitu akapita kutoka chumbani kwake akielekea (sehemu ya chakula) dinning ,,kupanga panga vyombo.
Nilimtazama huku yeye akanitizama kwa sura yenye hasira Sana. ?? ?? ??
**hapo.mzee baba ,, nikahisi kuna shida nyingine *
Hasira za sikitu nadhani zilisababishwa na uwepo wa jackline usiku huo! Akaelekea jikoni huku bado akiangalia ,Jackline Alinikutuliza nikiwa namtizama Sikitu. "Nimekuwa nikikushuku wewe na kijakazi wetu hivi karibuni. Na Ndio maana nimeamua maksudi tu nisiende mkesha usiku huu .Maana ninajua ni hatari kiasi gani kuwaacha nyinyi wawili peke yenu humu ndani.
*ooohhoo ikabidi nivunge ili kuua soo
"mimi ??, na house girl wenu?? Hivi kwanza unaongea upuuzi gani huu?? Tena naomba unikome ohoo , kisha nikanyanyuka na kumuacha Jackline akiwa peke yake pale kwenye sofa , nikaelekea chumbani kwangu.. Nikaingia kisha nikafunga mlango kwa ndani.Jackline akaamua kunipigia simu mara kadhaa , nikawa naitizama simu ikiita tu na sikutaka kupokea kabisa. Alipo ona nimegoma kupokea simu zake akaja mpka mlangoni.. Nakuanza kugonga.. Lakini sikufungua. ..nilipohisi ameondoka tu Mara ikaingia sms kwenye Simu yangu. Kutoka kwa jackline
"Naomba unisamehe mpenzi wangu , sikuwa na nia ya kuku-kasirisha, nilikuwa natania tu, nakupenda Sana Alvine "
Nikaisoma ile sms kisha nikatabasamu.
Saa tano na nusu . Sikitu alinipigia simu, akinambia nifanye mpango niende chumbani kwake lasivyo atakuja chumbani kwangu. nikamkumbusha kuwa Jackline amekuwa akitushuku hivi karibuni hivyo anaweza kutukamata! Nikamuuliza ni kitu gani madam alijadili naye kabla ya kwenda kanisani lakini akakataa kusema lolote huku akisisitiza kuwa atanipigia simu baadaye.. saa sita na nusu.
Nikairusha simu yangu pembeni ili angalau nijaribu kuutafuta usingizi , Mara ujumbe wa whatsapp ukaingia kutoka kwa Jackline , tukaanza kuchati.
JACKLINE: mpenzi, tafadhari nahitaji kuwa katika mikono yako muda huu, nahisi baridi na niko mpweke Sana.
MIMI: Pole Sana mpenzi wangu , hata Mimi pia huku!!
ITAENDELEA