Nilimsukuma sikitu pembeni, huku nikilichomoa biringanya langu,,Niliiona sura ya kutoridhika usoni mwake, Alikuwa Amejilaza Kitandani huku Akipumua kwa kasi.
Nikapunguza sauti ya bufa,, kisha nikauliza
" NANI?? "
..
Nilihisi kuishiwa Nguvu.. Pale nilipo iSikia sauti ya kike Ikinijibu tokea nje
" Ni Mimi Jackline
Nikapunguza sauti ya bufa,, kisha nikauliza
" NANI?? "
..
Nilihisi kuishiwa Nguvu.. Pale nilipo iSikia sauti ya kike Ikinijibu tokea nje
" Ni Mimi Jackline "
MIMI: Subir kidogo, Nakuja!!
** kwa spidi isiyo kuwa ya kawaida, sikitu akawa tayari amevaaa nguo zake , na Mimi upesi Nikavalia traka flani ya blue na kaushi **
JACKLINE : hebu fungua mlango basi, au kuna mtu unamficha huko Ndani?
MIMI: Ninakuja,!!!
JACKLINE: fanya haraka!!! Nataka Nimuone Huyo Malaya!! Mwenye hizi ndala hapa nje mlangoni!!
"duuuh , Tayari kila kitu kimeharibika, nilipanga kumficha sikitu bafuni kwangu, lakini tayari nikawa nimeisha chelewa! Jackline, ni msichna mwenye hasira na asiye kuwa na uvumilivu hata punje, hata Kama ningemficha sikitu , lazima tu angetafuta nyumba nzima ukizingatia Tayari amekwisha ziona ndala pale nje!!!
Nikaanza kuzipiga hatua taratibu kuelekea mlangoni, sikitu alikuwa akitetemeka sana kwa hofu , nikashikiria kitasa cha mlango wakati huo mlango nikiwa bado sijafungua, kisha nikamwambia " sukuma kwa nje "
nikamsikia, jackline akisukuma *
JACKLINE: Mbona haufunguki!! , au kuna mtu unamficha??
Upesi upesi ,, nikamfanyia sikitu ishara, kuwa.. Anyunyizie pafyumu, afu asambaze madaftari pale mezani kisha akae Kama mtu aliyekuwa akifanya Maswali muda wote.
Niliona hilo ndilo jambo naloweza kufanya kwa wakati ule , wakati huo, nikawa namfanyia ishara sikitu kwa Kusugua na Mkono kidogo kifuani kwangu, nikimaanisha, atulie, awe kawaida tu
Moyo wangu ukawa unadunda Sana, wakati nikiwa Naanza kuufungua mlango ili jackline aingie..
JACKLINE: whaaaaaat !!!!!, kijakazi wetu yuko Chumbani kwa mpenzi wangu?, Nini kinaendelea hapa?
Sikitu: * huku akitetemeka Sana * hapana!! Madam . Sivyo unavyo fikiria ma. .
MIMI: **** Nikasimama katikati ya Jackline na Sikitu, ili kuzuia ugomvi usije ukatokea, nita-kueleza kila kitu, lakini sivyo unavyo fikiria!
JACKLINE: **akapoteza uvumilivu , akashindwa kutulia kabisa Sawa, naomba unielezee, jinsi ambavyo umekuwa ukilala na hichi kisichana kichafu kichafu, kichakazi chetu.. Kisicho kuwa na Nyuma Wala Mbele!! Alvine, kumbe Siku zote.. Umekuwa ukitembea na hichi kigagula!!? Kisicho kuwa na hadhi yoyote
*Akaanza kusogea kwa hasira *
MIMI: Nikawahi kumzuia jackline, asizidi kusogea, wakati huo sikitu Alikuwa kwenye Kona ya Chumba , akiwa amebaha *. Jackline , tafadhali naomba unisikilize , sihivyo unavyofikiria, Sikitu aliniomba tu nimsaidie katika somo la hesabu na isitoshe , leo ndo ilikuwa Siku yake ya kwanza hapa, na unawez kujionea mwenyewe.. Hata vitabu vile Pale mezani. Plzzz
JACKLINE: hesabu?, Na ukashindwa nini kumfundisha kwa uwazi kule Nyumbani, mpka mmekuja kujifungia wenyewe humu ndani, na nimekuwa nikigonga mlango zaidi ya dakika 7 zote!! Bado Tu Unaiita hiyo hesabu???? Sauti ya bufa ilikuwa juu kiasi kile, mkaona haitoshi.. Ili mnidanganye vizuri vizuri , mkapulizia mpka pafyumu!! Unafikiri mimi ni mjinga kiasi hicho??????????
" PAAAAAAAAH!!!!! "
akampiga sikitu Bonge la kofi Shavuni.
MIMI: * hasira zikanipanda kuona, amempiga sikitu wangu kofi ,,, sikitu akawa analia Kama mtoto mdogo ?? ?? ?? ****. Jackline plzz, kuhusu sauti ya Mziki kuwa juu, nadhani unajua ni kwa kiasi gani napenda Sana kusikiliza mziki. Na ningesema nikutaarifu Mapema kuhusu suala la kumfandisha sikitu, sidhani Kama ungekubaliana nalo, nilitaka tu namsaidie... Angalau na yeye.. Siku moja afikie mahali ambapo amekuwa akipawazia.
JACKLINE: eehn eeehhh!! , unafikiri mimi ni mjinga?, kumbe ndo maana Siku zote limekuwa likichelewa kutoka sokoni!! Kumbe huwa linapitia hapa kwa ajili ya kutomb** !!eehh?? " PUMBAAAAVU!!!!
" PAAAAA!!! " akamuongeza sikitu.. Banzi jingine la nguvu usoni ?? ??
MIMI: ** nikamshika jackline, nikamsogeza mbali kabisa na sikitu,, sikitu alikuwa akilia tu*"Jackline unalipeleka hili swala mbali zaidi , Mimi nilikuwa nikimfundisha tu, na si vinginevyo!!
JACKLINE: ** akiwa bado na hasira, huku akitukana ovyo Hakuna shida, lazima Nimwambie mummy kila kitu Na Ninaapa Kwa Hilo,,,Wewe kichakazi... Umejiingiza mwenyew kwenye shida kubwa Muno, na sidhani Kama utaweza kujinasua !!!! Na kwa wewe alvine, Hakiya mungu!!! kibarua Chako Ndo kimeota Nyasi hivyo!!
Jackline akatoka nje ya chumba Changu kwa hasira huku akibamiza mlango kwa nguvu
Nikamugeukia sikitu.. Ili kumtuliza
Jackline akatoka nje ya chumba Changu kwa hasira huku akibamiza mlango kwa nguvu
Nikamugeukia sikitu.. Ili kumtuliza
MIMI: Baby samahani, kwa kilichokea
SIKITU: * akapiga kelele .... Naomba uniache peke yangu wewe kijana usiyefaa, samahani kwa lipi?, sikuwahi kufikiria kuwa wewe ni mjinga na usiye kuwa na huruma kaisi hichi* akaongeza kulia ***
MIMI: baby ,kwanini unaongea yote hayo sasa?,.
SIKITU: kila wakati nilikuwa nikikuuliza kuhusu ukaribu wako na aunty jakcline,,, mara zote ukawa unambia "hakuna kitu chochote". Sasa ni kwanini alisema nimefuata nini chumbani kwa boyfriend wake??!! Niache tu tafadhari na unisahau kabisa!
Sikitu akatoka nje ya chumba changu akiwa katika Hali ya huzuni Sana. Nilikaa kitandani kwangu nisijue wapi pakuanzia,, nilihisi kuchanganyikiwa... Lakini baadaye.. Nikaamua kuchukua simu yangu na kumpigia jackline.
MIM: hello Jackline, pls samahani, sio hivyo unavyofikiria mpenzi wangu.
JACKLINE: usije Ukajaribu kuipiga hii namba tena!! Lasivyo nitakacho kufanyia wewe na kizazi chako chote, hamtokaa mkalisahau jina langu * akakata simu *
***oohoo, Ndo nafanyaje sasa hapa!!!!
Nikajaribu kumtumia jackline, sms ndefu Sana ,nikimwelezea kitu Gani kilitokea , bado napo hakujibu chochote, nikajaribu kumpigia sikitu... Simu Yake Iliita Sana Lakini Haikupokelewa . Kuna wakati nilifikiria kwenda white house, lakini nakajikuta najiuliza " Alvine, utaenda Kuongea nani Kati ya Wale wasichana wawili?? Vipi ikitokea Brighton akagundua kitu, na akaamua kumwambia madam?? Vipi Kama kwenda kwangu, kutasababisha ugomvi mwingine mkubwa zaidi ndani ya ile nyumba??! Baada ya muda, niliamua kuachana kabisa na zile fikra, nikawa nimejituliza tu ndani mpka Siku Nzima ikawa imeisha,,nikiwa natafakari.. Kitu gani cha kufanya.. Maana Kama ni jahazi.. tayari limekwisha zama.
Ukweli ni kwamba, ninampenda Sana Sikitu,kwa tabia yake nzuri, upole wake na akili yake pia!! Lakini.. Nampenda pia jackline kwa sababu kadhaa, sikuwa tayari kumkosa yeyote Kati yao. Baada ya kufikiri kwa muda mrefu, kuna wazo likanijia akilini mwangu ……….
Nikaamua kutokwenda white house kwa muda wa Wiki nzima , muda wote huo, jackline hakuweza kujibu SMS Zangu zote na wala kupokea simu zangu, Namba ya simu ya sikitu nayo haikuwa ikipatikana tena. Nilitarajia Pengine madam angeweza kunitafuta kwa kunipigia simu, lakini haikuwa hivyo. Siku moja nikaamua kumpigia simu madam, ili nimjulie Hali , nikijua lazima.. Atakuwa amechukizwa Sana na kile kilicho tokea, lakini ilikuwa tofauti kabisa, madam aliongea na Mimi kawaida tu, kitu kilichopelekea nizidi kuchanganyikiwa!! Nisijue kipi nifanye!, nikakumbuka kuwa jumapili, itakuwa ni Siku nyingine ya soko, pengine sikitu anaweza kuja nyumbani kwangu.
Siku ya Jumapili, sikuweza kwenda kabisa kanisani, nilibaki tu nyumbani nikitarajia kuwa Sikitu, angeweza kuja..baada ya kumsubiri kwa muda,, nikaamua niende moja kwa moja mpka sokoni, nikaenda mpka kwenye duka ambalo sikitu hupenda Kununuapo mafuta ya karanga,, nikamuuliza muuzaji akanambia..ameondoka Kama dakika 5 zilizo pita,, hapo nikakumbuka kuwa lazima Atanunua matunda kabla ya kurudi white house!
Nilijua yote hayo, kwasababu niliwahi Kumsindikiza Sokoni Mara kadhaa, Sikutaka kupoteza muda, nikawahi mpka sehemu ambapo huwa ananunua matunda!! Nikaambiwa bado hajaonekana, nikajua tu, atakuwa bado hajafika, nikasogea pembeni kidogo.. Nikawa nasubiri.Baada ya dakika kma 6 hivi, Mara sikitu wangu.. Akawa amefika
MIMI: Mambo!!
SiKITU: * akaniangalia kwa dharau kidogo, kisha akanipotezea *
MIMI: Baby , wewe si wakunifanyia hivi plzzz!! Naomba tuongee.
SIKITU: * akavaa sura ya kazi, kisha akanigeukia *, unataka nini kutoka kwangu?
MIMI: upendo wako
SIKITU: hilo lilikuwa zamani, kwasasa,imebaki story
MIMI: *nikajiribu kumsogelea BABY PLZZ
tukasogea pembeni kidogo *
SIKITU: hivi unataka nikwambie mara ngapi wewe??? Naomba uachane na mimi kabisa , na ukijaribu kunisogelea tu, nitapiga kelele.
MIMI: ** nikasimama tuli , hakuna shida, nilitaka tu ujue kuwa nimekuwa nikikupenda Siku zote , na kamwe sitoacha kukupenda!! , hujui tu ni nafasi gani nimekupa katika maisha Yangu ,na Hujui ni kiasi Gani Naumia kuona unanifanyia Hivi * nikaigiza Kama nalia, na kweli machozi yakakubali , yakaanza Kumwagika **** Nikageuka Zangu , nakuondoka.
Wakati nikiwa natembea barabarani, Nikielekea nyumbani, Mara nikahisi Kama kuna mtu ananigusa begani kwa nyuma, nikageuka, macho yangu.. Yakatua kwenye sura ya sikitu.. Ambaye alikuwa Akitokwa na machozi,, akanikumbatia
" Nakupenda Sana Alvine "
*nilimwonea huruma, maana muda si mrefu nimetoka kumdanganya * ?? ?? ??
Nakupenda Pia sikitu!!
SIKITU: okay, Tunaweza Kwenda mahali tukae,Tuzungumze kidogo ??
Mimi: sawa, basi twende nyumbani kwangu.
SIKITU: hapana siwezi, aunty Jackline anaweza kutufuatilia huko tena.
Niliangalia upande wa pili wa barabara, kuna duka Flani lilikuwepo na Pembeni yake, ilikuwepo sehemu nzuri.. Ya watu kupumzika.
MIMI: wacha twende pale kwenye Lile Duka . akanifuata, tukawa tumevuka barabara *
*baada ya kufika *
SIKITU: haya nambie,, ulinimiss kweli??
MIMI: weee , nmekumiss Sana , na ndo maana Niliamua kukufuata mpka sokoni
SIKITU: sawa, alvine hebu kuwa mkweli! ,unamahusiano gani na aunty jackline?? Hivi Ni kweli,, mnapendana??
MIMI: eeeeehhhhmmm.
SIKITU: ehmm ndo nini sasa ?, Inamaanisha unampenda?
MIMI: sio kweli, tulikuwa na Urafiki wa karibu sana , kiasi kwamba.. Akawa akidhania kuwa Tupo Kwenye mahusiano , na ukweli ni kwamba, sijawahi kufanya naye chochote!!
SIKITU: sawa alvine . Mimi Sijui hata ni kwanini, nakupenda sana. Infact, niliwaambia marafiki Zangu wote wa kijijini kuhusu wewe na jinsi ulivyo nisaidia katika masomo yangu, walivutiwa Sana na jinsi nilivyo kuwa nikizungumza lugha ya kiingereza, ila wakawa Wananikatisha tamaa kuwa wewe ni msomi na mwisho wa Siku hautanioa, nikawaambia waisubiri tu, hiyo Siku ya ndoa yetu ?
MIMI: usisikilize maneno yao! , sidhani Kama wanajua maana ya upendo wa kweli!! Hebu ,nambie kilitokea nini Kati yenu baada ya kuwa mmefika nyumbani
SiKITU: hakuna jipya , tulifika tu nyumbani na ugomvi ukaanza upya! ,,tukatukanana Sana, huku akitishia kumwambia madam
MIMI: kwahiyo mwisho wa Siku alimwambia ?
SIKITU: anaanzaje sasa kumwambia , nilimwambia.. Akithubutu tu.. Na Mimi nitamweleza madam kila kitu, jinsi ambavyo umekuwa ukiingia chumbani kwake na kufanya naye mapenzi mara zote madam awapo kazini! Afu pia.. Amweleze madam vizuri .. Kilicho mpeleka nyumbani kwako mpka.. Tukakutana huko.
MIMI: hmmmmmmm. Ndo maana nakupenda, unaakili san
SIKITU: *akacheka kidogo wewe ongea tu hapo, na kikitokea tena.. Kitu kama kile!! Hauta amini.. Nitakacho kufanyia
MIMI: **ohoo baby, nakuahidi.. Hakuna kitakacho tokea tena!! Kwahiyo kumbe hakumwambia mama yake??
Sikitu:. Ndioo hakumwambia, lakini tumekuwa tukiishi kama paka na mbwa tangu Siku ile.
MIMI: Sawa baby , aahmm vipi na simu yako mbona haipatikani??
SIKITU: aliipasua.. Mara baada ya kuwa tumefika nyumbani
MIMI: hakuna shida, nitakununulia simu nyingine.. Muda si mrefu.
Sikitu: Sawa!! Basi.. Ngoja Mimi niende
MIMI: ngoja nikusindikize