Chombezo la weekend: Matumizi ya shanga kwenye mapenzi

mshana jr kaelimu kidogo kanahitajika hapo kwenye jinsi ya kuzitumia hasa kwa mwanaume
 

Na shanga lundoooo, ila sipendi kuvaaa vikorokocho korokocho mwilini.
Mume wangu hajaweka kichwani kabisa, mambo haya, asante mungu.
Labda akifika miaka 60.

Nawashangaa wanawake wanao vaa shanga, kabla ya kuolewa.
Sheria inasema kama hauja olewa hautakiwi kuvaa shanga...............hahahaha, hiyo ndio mila ya kwetu.
Kama wazungu, huwezi kuvaa pete ya ndoa kama hauja olewa.

Wanawake wengi ambao hawajachezwa hawajui maana yake kabisa.


Vile vile huwezi kuvaa shanga kwa kila mwanaume............unaweza kuvaa shanga kwa mwanaume anae jua maana yake, hasie jua maana yake atakuwa haelewi.

Mfano mwanamke akivaa shanga nyekundu kiunoni ni sign, anavuja damu, ana menstruation.

Hauitaji kumwambia mumeo kwa maneno, (oh bwana wewe mimi leo nasiku zangu, sitaki).

Na akivaa shanga nyeupe shingoni, maana yake menstruation isha kwisha. Unaweza kuosha kirungu, hahahaha, ndio maana yake.

Kama mwanaume hajui maana yake, yote inakuwa aina maana yeyote ile. Utapoteza time tu. Bora husivae.

Samahani kwa nitakao wakera,
natambua hairuhusiwi kusema mambo kama haya, lakini sijasema mengi, mawili tu
 
Umemaliza ndo mana ambao hawajaingia kwenye ndoa wanashanga ni madudu gani ukiingia kwenye ndoa lazma ufundishwe jinsi ya kuvaa na kila shanga na maana yake ningekua sijaolewa ungekua somo yangu [emoji8] [emoji8]
 
Somoe umeongea vizuri sana na hujavuka mpaka hata mmoja post yako hii imekuwa msaada mkubwa kwa wengi
 
Umemaliza ndo mana ambao hawajaingia kwenye ndoa wanashanga ni madudu gani ukiingia kwenye ndoa lazma ufundishwe jinsi ya kuvaa na kila shanga na maana yake ningekua sijaolewa ungekua somo yangu [emoji8] [emoji8]

Kweli mumy, watashangaa sana. Na wakivaa hawapendezi ng`o itakuwa chefua chefua.
Yupo beach anashanga kiunoni lundoooo, hahahaha, nimeona

Tafadhali wanawake musivae shanga, na wala kupakaa MAKE UP kabla hauja fundishwa na wajuzi. Mutaji fedhehesha bure. Mwanaume atakuona umejichafua tu USONI na KIUNONI.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…