Chombezo mkeo ndio alitaka

Mke wa mtu ni sumu
 
Hapana aisee hata kama nimechapiwa siwezi mletea mke wangu wanaume 5 wamkaze, bali nitaachana naye kimya kimya.

Uamuzi wa huyo mkaka ulikuwa wa kitoto mnoo
yani halafu anasema kabisa kama utaamua kujiua utajua mwenyewe, ila wanaume nyie ni wakatili sana🤓
 
nilikua nasoma siku flani walivyokua wanamsapoti yule jamaa kumwangalia mke wake akifa eti ndo uanaume, ila nyie😌
Uanaume ni kumlinda mwanamke na sio kumchochea ajiue, mwanaume halisi akivurugwa na mwanamke huchukua hatua ya eitha kuishi naye kama alivyo ama kuachana naye kimya kimya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…