Chombo cha NASA chafanikiwa kutua Sayari ya Mirihi (Mars), kitakusanya na kurudisha sampuli za mawe duniani

Kwa lengo gani wafanye hivyo? Yaani watu wapoteze fedha kwa ajili ya kuaminisha dunia uongo? Wewe ukipiga video call unaaminije kuwa unaongea na mtu halisia on the other side? Hata hivyo, una uhuru wa kuamini au kutoamini.

Chief , Mzungu yuko tayari apoteze pesa nyingi ili tu aonekane yuko higher than others...refer kifo cha osama ndio utajua hawa sio wa kuamini aise....
 
anayekosolewa ni yule ambaye tayari ana idea, wewe huna
Safi kabisa, thibitisha hilo.

Pili, hata asiye jua kabisa anakosolewa kwa aidha anahisi anajua kumbe hajui na hajui kama hajui. Kijana unaonekana aidja sayansi uliisoma ila ukatoka patupu au huijui kabisa ila unashabikia tu ndiyo maana kujenga hoja juu ya hii mada huwezi, unarukia rukia hoja za watu.

Tatu, humu nimewauliza maswali mnakimbia kimbia.
 
kuna maji chini ya surface ya mars ambayo yanaweza kushikilia oxygen ya kutosha kuweza kusaidia maisha kwa viumbe vilivyopo duniani.

Na mars sio kwamba hakuna oxygen kabisa bali ipo kwa kiwango kidogo kulinganisha na carbon dioxide iliyo tawala
Hizi habari unazithibitisha vipi kama za kweli ? Hili swali mbona rahisi sana mnalikimbia ?

Ni sawa nikuulize,je unahakikisja vipi historia yoyote unayo iamini wewe kuwa ni ya kweli ? Ukishindwa swali hili na hilo la hapo juu, tunahitimisha ya kuwa nyinyi huwa mnaamini vitu kichwa mchunga yaani kububusa tu. Sasa msilazimishe na sisi tuwe mazwazwa kama nyinyi, hizi akili tumepewa bure lazima tuzitumie katika usawa siyo kupenda stori na utoto mwingi.

Nawakumbusha tu ya kuwa muwe mnajibi maswali ninayo wauliza.
 
Hivi kwanini hawakurudi tena mwezini. Tafiti za mwezini ziliishia wapi au ziko classified huko kwao!
Lack of political will sababu wao ndo waidhinishi fedha, plus mazingira ya cold-war yalimotivate kwenda mwezini, na tatu kipaumbele ni kwenda Mars na sio mwezin
 
Sio lazima uamini na hujalazimishwa kuamin we endelea hivyo hivyo kutokuamini utapungukiwa na kitu usichoshe watu
 
Sio lazima uamini na hujalazimishwa kuamin we endelea hivyo hivyo kutokuamini utapungukiwa na kitu usichoshe watu
Sasa ndiyo muache kutuhubiria habari ambazo hamna elimu nazo na msizoweza kuzijengea hoja.

Nyinyi huwa nawaita "Mashabiki wa Sayansi".Bila shaka unazijua tabia za mashabiki.
 
Sasa ndiyo muache kutuhubiria habari ambazo hamna elimu nazo na msizoweza kuzijengea hoja.

Nyinyi huwa nawaita "Mashabiki wa Sayansi".Bila shaka unazijua tabia za mashabiki.
Hili ni jukwaa huru Kama hujapendezwa na habari unaipotezea ujashikiwa fimbo, wako ambao wako interested wewe Kama hauna ni wewe usitake watu waishi Kama unavyotaka wewe
 
wajaalna minal maai kulli shayinn hayya........haya maneno ya muumbaji wa vyote mnavyoviona yasipofanyiwa kazi wataambulia sifuri kubwa.
 
Sawa nakubali tueleweshane ila kabla ya yote ningependa kujua unavijuaje hivi vitu?

Isije ikawa hata uwepo wa sayari ya mars unapinga, ni bora kuelewa mapema tuwekqne sawa zaidi ili nijue ni kiasi gani unayaelewa mambo ya anga kabla hatujafika mbali
 
Sawa nakubali tueleweshane ila kabla ya yote ningependa kujua unavijuaje hivi vitu?

Isije ikawa hata uwepo wa sayari ya mars unapinga, ni bora kuelewa mapema tuwekqne sawa zaidi ili nijue ni kiasi gani unayaelewa mambo ya anga kabla hatujafika mbali
Usipoteze mda wako kumuelewesha huyo anapinga kila kitu
 
Sasa jambo gani ambalo unaona limekosekana kuweza kuifanya habari hiyo iwe kweli?

Ni uthibitisho wenye components gani ambazo zinatosha kukushawishi mpaka ukaridhika na habari hiyo kuwa ni kweli?

Au hata wewe hujui unachokitaka unabisha tu?
 
Usipoteze mda wako kumuelewesha huyo anapinga kila kitu
Huyu namjua vizuri anakiubishi flani cha kitoto

Kapewa uthibitisho hapa ambao ushakua calculated wamempunguzia kazi ili kumrahisishia lakini kaupinga.

Anakataa fact kwamba sio uthibitisho, Halafu anakuja kuamini kitabu cha kale kua kimesema ukweli kua kuna mtu aligawanyisha mwezi vipande viwili kisha akauunga tena
 
Chief , Mzungu yuko tayari apoteze pesa nyingi ili tu aonekane yuko higher than others...refer kifo cha osama ndio utajua hawa sio wa kuamini aise....
Kwa kifo cha Osama "alipoteza" kiasi gani ? Unafikiri walimuua Osama ili tu waonekane juu na si kwa sababu yeyote ya msingi ?
 
mbinguni ndio wapi asee?
 
Kuna vitu mi nashindwa kuviamini hasa inapotokea nguvu kubwa yakutaka niamini... sasa hiyo picha kaipiga nani aliyekua katangulia huko chombo kinapotua?
picha haihusiani na tulio halisi Bali hutumika kuelezea na kuonyesha jinsi mission inavokuwa
 
Asante kwa majibu mazuri ambayo hayajajibu mshangao wangu... ninachotaka kujua camera iendeshwe na sensor au iwe kwenye stand, drone au robot....

Wakati chombo kinatua picha zilipatikana, ndio nauliza hiyo camera iliyokipiga chombo wakati kinatua ilitangulia kusubiri kupiga picha au ni moja ya vifaa vilivyoenda na chombo ila wakati kimekaribia ardhi camera ikatangulizwa ili tuone picha.... ???
 
Yaani hii balaa chombo hiki kimekimbia muda wa miezi sita
...speed yake km 85 kwa sekunde moja kam sio uongo nini wazungu ni waongo sana wanataka kututoa kwenye reli kuhusu corona tu
hiyo speed si mchezo bora kuisoma tuu ila ukiivutia picha uhalisia wake aisee hiyo ndio kufumba na kufumbua. Mara paap umefika.
 
Unachanganya Mambo.
Wao wanasema wanataka kwenda kuishi kabisa.
Ukiacha na huo utafiti wanaoufanya.
Ndo Mimi napinga. Kwenda kuishi mars itakuwa ngumu.
Maana mars haipo kama dunia.
Dunia tumeikuta ikiwa na MATIRIO YOTE yanayotusaidia kuishi tofauti na mrs
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…